Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
UJASUSI - NANI NI AUTHORITY HALALI(KISHERIA)?
Sakata la kumpata mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo limeibua mambo mengi miongoni mwa kambi pinzani ndani ya chama, ikiwa ni matokeo ya kurushiana makombora Katika jitihada za kila kambi kutaka kuidhoofisha kambi pinzani!
Moja ya vijimambo vilivyoibuka ni hili la kumshambulia mmoja wa wadau wa kambi inayomuunga mkono 'incumbent', Yericko Nyerere, kuwa ni muandishi wa vitabu anayeiba mada za watu mbalimbali mitandaoni na kuziungaunga kupata vitabu ambavyo baadhi ya wadau pinzani sasa wanayaita 'MAKARATASI' wakimaanisha 'SI MALI KITU!'
Wapinzani wake wanadai kwamba, Yericko, ni muandishi 'COPY AND PASTE' na mada za vitabu vyake vyote ni wizi mtupu kiasi wameanza kuwahamasisha watu walioibiwa maandiko yao mitandaoni wamfungulie mashtaka ya kuvunja sheria zinazomlinda mmiliki halali wa ubunifu (sheria za 'COPY RIGHTS')!
SWALI LANGU: Hivi ni nani, hapa Bongo, anayeweza kusema yeye ndiye authority wa hizo mada za vitabu vya ujasusi? ... wote wanatujaza vitu vile vile, mara 'HONEY TRAPS' za MOSSAD, mara 'DEAD AGENTS' wa KGB na upuuzi mwingine, DECLASSIFIED, tunaosoma kwenye vitabu vya wazungu na kuangalia kwenye 'documentaries' mitandaoni na hata kwenye baadhi ya TV channels!
UNAANZAJE KUMFIKISHA MTU MAHAKAMANI KWA MALI AMBAYO HATA WEWE MWENYEWE NI MWIZI!?