UJASUSI - Nani ni authority halali (Kisheria)?

UJASUSI - Nani ni authority halali (Kisheria)?

Kitalaamu ukichukua idea ya mtu bila acknowledgement na ukaweka kwenye kitabu chako hiyo inaitwa "plagiarism," academically hiyo ni kosa kubwa sana, kama ni kweli yeriko alicite idea ya mtu bila kufanya kuacknowledge, yeriko anakosoa sifa za kuatwa mwandishi bora wa afrika, hata hizo tunzo zake ,kama itahibika pas na shaka kuwa alikopi na kupest bila kuacknowledge,inatakiwa apokonywe tunzo zote alixowai kupewa.

Ngoja tuone!
🤣
Cc:

Smart911

... siri ya mafanikio ya biashara ni kulifahamu soko!
Kuna watu hapa mjini, bila mtaji wowote, anaenda soko kuu, kwa mfano, anajiokoteza nyanya 'reject' na jioni utamkuta barabarani Manzese akijikusanyia maokoto, ... hawezi kuuza bidhaa yake supermarket lakini anasomesha watoto! 🤣
... Yericko Nyerere ni genius wa UTAFUTAJI, kama sio UCHUMI! ... sisi, waswahili, wenye shauku la kuwajua majasusi tunapata njia ya mkato ya kupata 'MATERIALS' za ujasusi!
Kwa kweli umesema bila wivu. huyu anawapiga wajinga. mwenye akilizake bora anunue vitabu vya msiba. wengine hadi wakamuita eti naye ni kipepeo mweusi. Kama ndio na yeye yumo basi vetting ina shida mahala hafai kuwa mole
 
Back
Top Bottom