Ujasusi ndani ya Al Shabaab: Faiz & Bakshwein, double agents waliouawa kikatili

Ujasusi ndani ya Al Shabaab: Faiz & Bakshwein, double agents waliouawa kikatili

nakumbuka kuna tukio moja lilitokea 2014 pale malindi kuna jamaa alikuwa spy wa serikali akajipenyeza ndani ya alshabaab, walipomshtukia walimtenganisha kichwa na kiwiliwili tena ilikuwa asubuhi ya saa tatu kama skosei
 
nakumbuka kuna tukio moja lilitokea 2014 pale malindi kuna jamaa alikuwa spy wa serikali akajipenyeza ndani ya alshabaab, walipomshtukia walimtenganisha kichwa na kiwiliwili tena ilikuwa asubuhi ya saa tatu kama skosei
Itakuwa ndio huyu Faiz

Maana huyu faiz aliuliwa 2014 malindi kwa kutenganishwa kichwa na kiwili wili
 
Mleta Uzi rekebisha topic, hao hawakuwa double agents bali ni majasusi tu wa CIA. Kuwa double agent maanake walikuwa Wanafanya kazi za Alshabab bila CIA Kujua na walikuwa wanafanya kazi za CIA bila alshabab Kujua. Yaani Wanakula pande zote mbili. Kwa maelezo yako hao mabwana walikuwa upande wa CIA wakijenga imani kutoka kwa Alshabab kitu ambacho ni kazi ya msingi ya jasusi.
 
Kimsingu hapo unaweza kujiuliza hao al-shabab walijuaje kuwa mshikaji ni double agent?

Inawezekana FBI walimpenyeza mwingine apate kuaminiwa kwa kumchoma hao washikaji

Zambi ya usaliti haijawah kumuacha mtu salama
Ni kweli kabisa uliyosema usaliti siyo kitu kizur
 
Hii kazi inabidi uwe na roho mbaya ila sura ya tabasamu na unyenyekevu Wa hali ya juu.
 
Kuwa mtoa taarifa ya mashirika ya kijasusi ni kazi ngumu sana na mara chache kukuta informants wanakoswa kueleweka kwa muda wao wote wa utumishi.
Na kigezo kikubwa kinachohitajika ni lazima uweze kuwasaliti unaotenda nao mission.
Kazi ngumu sana hizi kubadilikana kuko nje nje!
Nalog off
 
Naomba utuelimishe na yanayojiri UK na mrusi maana mpaka sasa wameisha uwawa 14 wote wakiwa wapinzani na spies waliohamia UK
Hii ni soft war baina yao
 
Tatizo la ujasusi kifo ni mda wowote huwezi jua kama siku inayofuta utakua hai au utauwawa.
 
Back
Top Bottom