Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameisha uwawa warusi kibao lakini waingereza hawana la kufanyaNimeona kupitia bbc swahili waingereza wamekasilishwa sana uchunguzi unaendelea.
Unajua we ni f.ala sana?Vvfiff829f6ff9
7fgdzsxee
Hfxed6[emoji53]'÷dx'
Inamaana walimchinja hadharani na ww ukishuhudia?basi kama ndio huyo nilikuwepo eneo la tukio bro
Mkuu kwa maelezo yako inaonesha wewe ni mshabiki mkubwa wa Al Shabab na Al qaeda.?Siyo kweli na huyu historia y huyu mbwa mortem storm may Allah curse him ..........Morten kwa ufup alikuwa n mkristo akasilim na alikuwa akisikiliza sana lecture za our beloved sheikh may Allah accept him anwar al awlak .....bdae walikuja juana na kuwa karbu ....ikafka kipind mortem na wenzake wakataka kujiunga al shabab ila wenzake walitangulia had Kenya ....so kufka wakamuinform kuwa hal s shwar ...asije kwanza asubir kwa ujinga wake akaona n usaliti akakasirika sana na kuamua kuwapigia kwanza shirika la Denmark la kijasus ili awape information kuhusiana na awlak ambae alikuwa most wanted kipind hicho ...Denmark ndo ilimkonect na C.I.A na mwenyew alitoa sir hiz baada ya C.I.A kumdhulum pesa zake baada ya kufanikisha kumuua awlak .......Mara ya kwanza ilishindkana kumuua baada ya Morten kuweka device ktk beg za mke wa sheikh ambaye yeye ndo alimtaftia ila alipofka Yemen airport maafisa wa al qaida walishtuka na kuitoa ile device so C.I.A wakahis Morten kawazngua ila Mara ya pili huyu mbwa alifankkisha kuwapa taarifa WAP yupo awlak akauwawa na ndo C.I.A walipomdhulum hela zake na kama kisas akaweka ukwel wote waz ......According to inspire magazine ambapo taarifa zake zilielezwa kwa kina inadaiwa alichukuliwa na malkia Elizabeth baada kuwa wanted na mujahideen al over the world
Inspire magazine n magazine ya alqaida inayotoka kwa mwez Mara mbili na kulikuwa na maelezo yote haya nloyatoa
aisee anzisha biashara mana upeo wako ni mzur sanaKimsingu hapo unaweza kujiuliza hao al-shabab walijuaje kuwa mshikaji ni double agent?
Inawezekana FBI walimpenyeza mwingine apate kuaminiwa kwa kumchoma hao washikaji
Zambi ya usaliti haijawah kumuacha mtu salama
subir nikabadilishe avata nirudSiyo kweli na huyu historia y huyu mbwa mortem storm may Allah curse him ..........Morten kwa ufup alikuwa n mkristo akasilim na alikuwa akisikiliza sana lecture za our beloved sheikh may Allah accept him anwar al awlak .....bdae walikuja juana na kuwa karbu ....ikafka kipind mortem na wenzake wakataka kujiunga al shabab ila wenzake walitangulia had Kenya ....so kufka wakamuinform kuwa hal s shwar ...asije kwanza asubir kwa ujinga wake akaona n usaliti akakasirika sana na kuamua kuwapigia kwanza shirika la Denmark la kijasus ili awape information kuhusiana na awlak ambae alikuwa most wanted kipind hicho ...Denmark ndo ilimkonect na C.I.A na mwenyew alitoa sir hiz baada ya C.I.A kumdhulum pesa zake baada ya kufanikisha kumuua awlak .......Mara ya kwanza ilishindkana kumuua baada ya Morten kuweka device ktk beg za mke wa sheikh ambaye yeye ndo alimtaftia ila alipofka Yemen airport maafisa wa al qaida
tunakuomba kituo cha kati harakaaaa kwa mahojeanoHuenda lemutuz naye Ni agent Huwezi jua!
Punguza pombeVvfiff829f6ff9
7fgdzsxee
Hfxed6[emoji53]'÷dx'
Lkn kifo kwako ni 95% uko hatariniRaha ya hii kazi mda wote unakuwa angani km mwewe Mara new York, Mara Amsterdam Mara wapi
Na kulala hotel za nyota tano Ni kawaida
Hata mm mkuu huwa sichoki kusoma habari hiziNapenda sana story kama hizi...ni vitu hadimu mnoo..na madini matamu kuyasoma..
Kwanini mkuu??Duuh, huu uzi umeanza kunifanya nianze kuwaogopa wanadamu
Taahira pekee anaweza fanya upumbavu huu Wa kucopy uzi mrefu hivi pumbavu zakoVvfiff829f6ff9
7fgdzsxee
Hfxed6[emoji53]'÷dx'
Hapo ndipo ninauchukia uislamu kwakweli yaani jamaa anashabikia Al shabab na Al Qaeda indirect?? Inakera sanaMkuu kwa maelezo yako inaonesha wewe ni mshabiki mkubwa wa Al Shabab na Al qaeda.?
Vipi ulifurahia vile vifo vya wale wanafunzi wasio na hatia pale Westgate.???