Ujasusi ndani ya Al Shabaab: Faiz & Bakshwein, double agents waliouawa kikatili

kwa hao jamaa, unafiki ni sumu kwao. lakini pia hautakuwa salama pale utakapokuwa unashirikiana nao huku ukishirikiaana na US.
Pole zao
 
Raha ya hii kazi mda wote unakuwa angani km mwewe Mara new York, Mara Amsterdam Mara wapi

Na kulala hotel za nyota tano Ni kawaida
Lakini ya kikukuta kama yalivyowakuta Ahmed na Faiz utajamba cheche mkuu [emoji38]
 
Hii kusema morten alikuwa akitumika na C.I.A kuwapa silaha mashabab n uongo mtupu ...Morten alipotea mda mref. Baada ya kuuwawa al awlak ...wala hakuhusika chochote na west gate
Morten yupo hai?
 
Ila mkuu kumbuka story kama hizi lazima kuna ka ukweli na kutia chumvi ili story inoge kwaiyo jamaa yupo sahihi na nime furahia.

Sasa hizo critics zako unataka kutuondoa kwenye furaha. RIP AHMED&FAIZ
 
Kimsingu hapo unaweza kujiuliza hao al-shabab walijuaje kuwa mshikaji ni double agent?

Inawezekana FBI walimpenyeza mwingine apate kuaminiwa kwa kumchoma hao washikaji

Zambi ya usaliti haijawah kumuacha mtu salama
fbi ni washenz hao jamaa wana akili nying na hawaon shda kukutoa sadaka
 
Kwa wastani kuwashinda al shabab ni kazi sana maana no Allah ndo awaongoza. Kwa mujibu wa kipind cha jicho pevu serikal ya Kenya waliona ili kuwashinda al shabab lazma wapate info za al shabab. So walikusanya vijana kwa kumtumia bwana Ahmed na kuwapeleka kule somalia ili wawe wanatoa taarifa kwa Kenya lakin wapi walipo ingia tu all shabab wakaanza kupewa elimu rasmi ya kumjua Allah wakajikuta wamesahau kilichowapeleka na kua memba kamili wa alshab.
 
Kama wangeshindikana basi hivi sasa wangekuwa wanatawala dunia jambo ambalo ndio nia yao au Sera yao.
Ukiona wanapigana kwa kujifichaficha ujue wanaogopa, na kama wanamtegemea mungu fulani, badi huyo mungu ni feki na dhaifu.
Watu wa Mungu huwa wanasema nia yao hadharani ili ifanyiwe kazi hadharani na kama kupigana watapigana hadharani huku wakijitambulisha kwa amri na sheria na mavazi.
Mambo ya Mungu yanafanywa hadharani siku zote.
Ni mambo ya Shetani ndio yanafanywa kwa kificho,

"Refer all Secret Societies and Occult Organizations Practises"

Mwenye akili ameelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…