Kuwa one step ahead of your enemies na mbinu bora kabisaWengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam
Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ hospital.. Begi lake likiwa limeshaandaliwa vizuri kabisa likiwa na pesa$, silaha na passport kwenye gari tayari kwa kupotea nampa saluteπͺπΏπ
Bahati nzuri au mbaya akakutana na watu wanatoshana mbinu.. Misheni ikafeli
Hata sakata la juzi alishajiandaa na kwa vyovyote alishapenyezewa za chinichini kwamba wanamjia.. Money talk.. Ukiwa na shekeli na ukajua kujiongeza utashindwa na mambo machache sana
Je aliwezaje kuwatoka police mpaka wakaishia kumkamata msaidizi wake tuu!? Kwa vyovyote alikuwa na escape plan 2 au 3
1.Kwenye kanisa lake kuna mlango wa siri unaoongoza mpaka nje kabisa bila kuonekana na yoyote
2. Kwenye kanisa lake ana handaki la siri lenye chumba kikubwa chenye huduma zote muhimu.. Na ana njia za siri za kuweza kufanya mawasiliano na watendaji wake bila kunaswa na mifumo ya kimtandao
3. Muda mchache kabla ya police kuvamia aliondoka na kwenda sehemu salaam mafichoni.. Kisha akiwa huko akajirekodi na wachungaji wake kwamba wako ndani ya kanisa na wameambiwa police wamezingira kanisa huko nje
Hii ni mbinu ya kijasusi. Kumzubaisha adui wakati wewe unapata nafasi ya kutoweka.. By the time jamaa wanatinga ndani Gwajima kitambo kabisa alishasepa! π
Ukiwaza kindezi unaweza kusema mwana alivuka boda usiku uleule akiwa kapigilia dela lake safi kabisa na ushungi juu.. Maana pengine walichelewa mno kuweka barriersView attachment 3356465
Hakuna jasusi pale
Maboya walilinda kanisa usiku kucha....jasusi lilishawatoka saa nyingi....ataenda polisi kwa wakati wake.Hakuna jasusi pale
Kama itelijesia zenyewe ndio hizi unategemea nini?Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam
Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ hospital.. Begi lake likiwa limeshaandaliwa vizuri kabisa likiwa na pesa$, silaha na passport kwenye gari tayari kwa kupotea nampa saluteπͺπΏπ
Bahati nzuri au mbaya akakutana na watu wanatoshana mbinu.. Misheni ikafeli
Hata sakata la juzi alishajiandaa na kwa vyovyote alishapenyezewa za chinichini kwamba wanamjia.. Money talk.. Ukiwa na shekeli na ukajua kujiongeza utashindwa na mambo machache sana
Je aliwezaje kuwatoka police mpaka wakaishia kumkamata msaidizi wake tuu!? Kwa vyovyote alikuwa na escape plan 2 au 3
1.Kwenye kanisa lake kuna mlango wa siri unaoongoza mpaka nje kabisa bila kuonekana na yoyote
2. Kwenye kanisa lake ana handaki la siri lenye chumba kikubwa chenye huduma zote muhimu.. Na ana njia za siri za kuweza kufanya mawasiliano na watendaji wake bila kunaswa na mifumo ya kimtandao
3. Muda mchache kabla ya police kuvamia aliondoka na kwenda sehemu salaam mafichoni.. Kisha akiwa huko akajirekodi na wachungaji wake kwamba wako ndani ya kanisa na wameambiwa police wamezingira kanisa huko nje
Hii ni mbinu ya kijasusi. Kumzubaisha adui wakati wewe unapata nafasi ya kutoweka.. By the time jamaa wanatinga ndani Gwajima kitambo kabisa alishasepa! π
Ukiwaza kindezi unaweza kusema mwana alivuka boda usiku uleule akiwa kapigilia dela lake safi kabisa na ushungi juu.. Maana pengine walichelewa mno kuweka barriersView attachment 3356465
Bila shaka alipo anakoka moto ili moshi mweupe utokeWengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam
Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ hospital.. Begi lake likiwa limeshaandaliwa vizuri kabisa likiwa na pesa$, silaha na passport kwenye gari tayari kwa kupotea nampa saluteπͺπΏπ
Bahati nzuri au mbaya akakutana na watu wanatoshana mbinu.. Misheni ikafeli
Hata sakata la juzi alishajiandaa na kwa vyovyote alishapenyezewa za chinichini kwamba wanamjia.. Money talk.. Ukiwa na shekeli na ukajua kujiongeza utashindwa na mambo machache sana
Je aliwezaje kuwatoka police mpaka wakaishia kumkamata msaidizi wake tuu!? Kwa vyovyote alikuwa na escape plan 2 au 3
1.Kwenye kanisa lake kuna mlango wa siri unaoongoza mpaka nje kabisa bila kuonekana na yoyote
2. Kwenye kanisa lake ana handaki la siri lenye chumba kikubwa chenye huduma zote muhimu.. Na ana njia za siri za kuweza kufanya mawasiliano na watendaji wake bila kunaswa na mifumo ya kimtandao
3. Muda mchache kabla ya police kuvamia aliondoka na kwenda sehemu salaam mafichoni.. Kisha akiwa huko akajirekodi na wachungaji wake kwamba wako ndani ya kanisa na wameambiwa police wamezingira kanisa huko nje
Hii ni mbinu ya kijasusi. Kumzubaisha adui wakati wewe unapata nafasi ya kutoweka.. By the time jamaa wanatinga ndani Gwajima kitambo kabisa alishasepa! π
Ukiwaza kindezi unaweza kusema mwana alivuka boda usiku uleule akiwa kapigilia dela lake safi kabisa na ushungi juu.. Maana pengine walichelewa mno kuweka barriersView attachment 3356465
ππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏπ€ͺKama itelijesia zenyewe ndio hizi unategemea nini?View attachment 3356503
kwani nani anamuhitaji huyo mzinzi gentleman?Wengi wanajiuliza Gwajima yuko wapi? Minong'ono ni mingi lakini ni wazi mpaka sasa hajaingizwa kwenye 'mikono salama'.. Na wakili wake Peter Kibatala kasema mteja wake yuko salaam
Gwajima ni bingwa wa kupangilia matukio.. Nikikumbuka kipindi cha Magu alivyotaka kuwatoka police pale TMJ hospital.. Begi lake likiwa limeshaandaliwa vizuri kabisa likiwa na pesa$, silaha na passport kwenye gari tayari kwa kupotea nampa saluteπͺπΏπ
Bahati nzuri au mbaya akakutana na watu wanatoshana mbinu.. Misheni ikafeli
Hata sakata la juzi alishajiandaa na kwa vyovyote alishapenyezewa za chinichini kwamba wanamjia.. Money talk.. Ukiwa na shekeli na ukajua kujiongeza utashindwa na mambo machache sana
Je aliwezaje kuwatoka police mpaka wakaishia kumkamata msaidizi wake tuu!? Kwa vyovyote alikuwa na escape plan 2 au 3
1.Kwenye kanisa lake kuna mlango wa siri unaoongoza mpaka nje kabisa bila kuonekana na yoyote
2. Kwenye kanisa lake ana handaki la siri lenye chumba kikubwa chenye huduma zote muhimu.. Na ana njia za siri za kuweza kufanya mawasiliano na watendaji wake bila kunaswa na mifumo ya kimtandao
3. Muda mchache kabla ya police kuvamia aliondoka na kwenda sehemu salaam mafichoni.. Kisha akiwa huko akajirekodi na wachungaji wake kwamba wako ndani ya kanisa na wameambiwa police wamezingira kanisa huko nje
Hii ni mbinu ya kijasusi. Kumzubaisha adui wakati wewe unapata nafasi ya kutoweka.. By the time jamaa wanatinga ndani Gwajima kitambo kabisa alishasepa! π
Ukiwaza kindezi unaweza kusema mwana alivuka boda usiku uleule akiwa kapigilia dela lake safi kabisa na ushungi juu.. Maana pengine walichelewa mno kuweka barriersView attachment 3356465
Hili jambo linanishangaza Sana. Kwa nini CCM huona Kila wanaowapinga ni mashoga. Ina maana wanataka kutuambia hii nchi imejaa mashoga?ccm wanawaza nyuma sana ndio maana kila mtu wanamuona shoga kumbe wao ndio mashoga