Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

askofu kusamabaza ukimwi kwa ngono zembe miongoni mwa waamini wake ni mauaji ya halaiki gentleman
Chanzo cha kutamalaki kwa UKIMWI ni umaskini uliosababishwa na CCM. Ukienda Kimboka pale Buguruni ama Tandale uwanja wa Fisi na Buza kwa mpalange ngono mpaka za buku mbili zipo.

Watu wanakwepa umaskini kwa kufanya ukahaba lakini wanakumbana na maradhingono UKIMWI ukiwemo.
 
chanzo cha ukimwi ni ngono zembe kama ambavyo gwajiboy hUsamabazia waamini wake kwa makusudi gentleman.

huna haja kupotosha wadau wa JF
 
Safi sana!
 
chanzo cha ukimwi ni ngono zembe kama ambavyo gwajiboy hUsamabazia waamini wake kwa makusudi gentleman.
Hujui maisha ya huku uswahilini na huu umaskini uliosababishwa na CCM ukifanya ngono bila kondomu bei inapanda? Wewe endelea kuziita ngono zembe wakati dada zetu ndiyo njia yao pekee iliyobaki ya kujiingizia kipato.

Unadhani dada zetu wa huku uswhilini wanao uwezo wa kuuza bandari?
 
unadhani gwajiboy alikua anawatembezea ngono waamini wake alikua anawalipa?
si aliku anasambaza ukimwi bure tu ila ni kwa wenye tamaa ya umaarufu zaidi
 
tuliza ball mjumbe na wakala wa shetani.
kuabudu kanisani kwa mzinzi ni kuabudu sanamu
According to you, kama kuabudu kanisani kwa mzinzi ni kuabudu sanamu, pengine hata Yesu asingekula na watoza ushuru na makahaba, right? Funny how you’re so quick to judge, yet you probably need more grace than the people you're pointing fingers at.

Be smart chawa wa bi ushungi.
 
unadhani gwajiboy alikua anawatembezea ngono waamini wake alikua anawalipa?
si aliku anasambaza ukimwi bure tu ila ni kwa wenye tamaa ya umaarufu zaidi
Hivi yule mkurugenzi wa Mafia na yule aliyekuwa Mkuu wa Mkoa kesi Yao iliishia wapi?

Wasambaza UKIMWI hutumia umaskini wa watu kufanya mambo yao. CCM imeleta umaskini mkubwa sana Kwa watanzania.
 
mzinifu wa madhabahuni ni mjumbe wa shetani, mnao abudu kwake mnaabudu sanamu.

ramli ni nonsense kwangu gentleman
Basi usipotubu hakika utakufa kizazi chako hakitakua salama kwa neno moja tu kiburi na majivuno hakika BWANA MUNGU ,neno lake litatimia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…