Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

Acheni kumjaza hana ujasusi wowote ni ujanja ujanja tu wa hapa na pale na wala si kwamba wakimuhitaji wanamkosa!.
Watu kama hao jaribu kuwafatilieni wameshajua namna ya kuwalaghai watu na ndio maana wanaanzisha makanisa!, huko ndipo wanapopigia pesa hivyo ujanja ujanja wakujua ukweli plus fedha ndio maana mnawaona kama akili nyingi!. na kwasababu wanaufahamu ukweli na ndio maana wanakuwa na matendo fulani hivi maana wanajua hakuna kinachowafunga kidini!.

Pia ni watu mojawapo wanaokula na serikali pale inapobidi, na inaweza isiishie hapo wengine wanaweza kufanyiwa recruitment na vitengo vya kijasusi aidha ndani ama nje!, so inategemea na ushawishi wake na hao wanaomtaka wanataka nini kutoka kwake!.

Kuna yule mmoja naona yeye bado anakula mapande makubwamakubwa tena kwa usalama sana!, muda utasema huko mbeleni kama nayeye ni mbombongafu ama vipi!. ila hizi vitu muda mwengine huratibiwa maksudi so ni heri kukaa kimya angalia miruko yao baadae ndo utaelewa kwanini wanaruka!, bado mapema sana kuanza kumsemea huyo kiumbe kwenye hili ila pigo la mwisho ndo litatafsiri.
 
Sawa jasusi mbobevu🤣
 
hizo drama za upotoshaji zisipumbaze waTanzania kuendelea kuchapa kazi za maendeleo yao gentleman
Deusdedith Soka angekuwa ndugu yako usingesema hayo?

Mdude Nyangali angekuwa mtu wako wa karibu ungekuwa na mtazamo tofauti!

Ungekuwa mwanafamilia wa Hayati Ally Kibao ungekuwa unaongea lugha moja na familia yake!

Chunga sana kinywa chako! Maisha ni kama gurudumu linalozunguka!
 
askari wenyewe ndo hawa "mke wangu bandika ugali mboga inakuja sasa hivi" ndo wawe na maarifa kumzidi Gwajima?
 
UKiwa na Pesa kudakwa, kutekwa na kufa ki ndezi ni ujinga, naona Askofu atafika mwemyewe makao makuu ya Police muda wowote ambao ataona yeye unafaa.
 
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe. Akihitajika atakamatwa kama kuku tu. Kwa hiyo acheni Blaa Blaa na porojo zenu hapa.
Kwa kosa gani Lucas Mwashambwa mnataka kumkamatia huyu Jasusi la mbinguni?

Mnaonywa tena na tena la hamsikii. Kwanini?

Mit 22:3 SUV
"....Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia..."
​

Inavyoelekea nyie hamna kabisa akili na busara. Sasa endeleeni mbele ili mkaumie na kujuta vuzuri

NOTE:
Askofu na Mch. Josephat Mathias Gwajima yumo kwenye maombi ya siku saba (Seven days uninterrupted fasting prayers) kuanzia Jumatatu ya tarehe 2 - 8/6/2025 mahali salama na hakuna polisi anayeruhusiwa kufika mpaka baada ya siku 7

Baada ya maombi, tutamleta mchana kweupe hapo ofisini kwa Afande Mafwele (kiongozi & instructor wa watekaji) au kwa Afande Juma4 Muliro (mstaafu aliyechoka)

Umeelewa sasa?
 
Huyu ndo alimawambia Tundu Lissu kwamba hasiende Dodoma wamepanga Kumshambulia na kweli ikatokea huyu ni mtu Mfumo kabisa tena anaweza kua mkubwa ana cheo
 
ccm wanawaza nyuma sana ndio maana kila mtu wanamuona shoga kumbe wao ndio mashoga
Labda walichelewa kwenda pharmacy kununua vilaininshi! Mimi siku zote nawaambia ukimuona mtu yupo kimbele mbele kukemea ushoga fahamu kabisa 75-85% yeye ni shoga!
 
Reactions: Fbn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…