Ujasusi: Ni lazima uwaze mbele ya wakati

askofu kushiriki uzinzi na kurekodi video akimnyandua muumini wake, huo si ushirikina na kuabudu sanamu gentleman?
Kumshambulia mtu aliyekosoa utekaji na uuaji, huo ndio USHOGA wenyewe sasa.
 
Lakini ile barua haikuwa ya wito.. ilikuwa ya kufungia kanisa...sasa imekuaje wamfuate tena...ila mimi nakazia kuwa malipo ni hapa hapa duniani...wakisha malizana na wasio na hatia ninacho kijua mimi wataanza kushughulikiana wenyewe kwa wenyewe muda huo ukifika tutayajua ya sirini...!​
 
Mashauri wanayoweza wa PGO ni kupeleleza kesi za mabinti wametukanana uswazi.Vitu vya kutulia na kuwaza "down -under" hamna kitu.
 
Vikundi hivi, ambavyo sasa vinajulikana sana kama Jeshi la Bendera Nyekundu (Red Army), si sehemu ya ulinzi wa raia wala programu yoyote rasmi ya umma. Badala yake, vinaonekana kuwa sehemu ya mkakati wa siri wa kuimarisha udhibiti wa kisiasa wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2025 unakaribia.
 
Yaani umtume mwenye njaa amkamate tajiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…