Ujasusi wa Israel unavyowaingizia mkwanja mrefu: Huduma ya kudukua simu moja ni bilioni 1, Wateja wakuu ni serikali na taasisi za kijasusi duniani

Ujasusi wa Israel unavyowaingizia mkwanja mrefu: Huduma ya kudukua simu moja ni bilioni 1, Wateja wakuu ni serikali na taasisi za kijasusi duniani

Mbaya zaidi hizo products zao za software wanauza kwa yeyote , so hata criminals ,madikteta na serikali za kishenzi kama za Afrika huku zisizo jali haki za binadamu wala privacy , zinanunua na kudukua raia au watu wanaopingana nao na hata kutumia hizo data kupoteza maisha yao
Serikali ni authorized criminals, police are more crooked than criminals
 
Nimesoma kwenye hiyo source (link) ambayo mtoa mada ameweka, kuna mahali wanasema kuna jamaa ni Mtanzania anaitwa Mwakaleli anafanya kazi nao na yeye ndio kiongozi wao.
Kuna huyu anaitwa Mwajuma Maguire ni msaidizi wa Mwakaleli.
 
Nadhani siyo tu Israel inapata Mabilioni ya dollars lakini tayari hiyo nchi iliyonunua Spyware kutoka Israel inatakuwa kwenye hatari ya kudukuliwa taarifa zake na Israel.
 
Back
Top Bottom