Kivipi wakati mikataba yote ya uwekezaji inawabeba au we huoniTena developing countries ndo target yao ili kuzinyonya kiuchumi na source ya markets ya bidhaa zao mkuu. Usidharau ni muhimu sana kuijua Africa ili watunyonye vizuri, kuanzia mikataba.
Sasa wao hufanya uchunguzi pa kuangalia weakness ili watunyonye, wakati cdhani ka wana intelligence wetu huchunguza kwanza hao wawekezaji, na impact yake kiuchumi.Kivipi wakati mikataba yote ya uwekezaji inawabeba au we huoni
Kuna yule jamaa alietengeneza helkopta, nae ameiba technology pia
Tanzania tumelala, tukija amka tusha lalwa, tumelaliwa na kukojolewa
Sisi hatuna cha kudukuliwa, nchi ya wachuuzi hii ndio maana mitaa kama kongo na mingineyo kariakoo imejaa wauza kila kitu kutoka nje!
Ndio maana TCRA wanahangaika na majina bandia na vichupi mitandaoni kwakuwa mitambo yao ina program ya kudeal na hivyo tu sio technology au uchumi wetu.
Hivyo sio majina bandia wala vichupi, mitambo yao haivisomi!Mbona wanyama hai (Twiga, Ndege na Tumbiri) nyara za serikali kama meno ya Tembo na mambo mengine mazito (dhahabu) yaliweza kuvushwa pale JNIA?
Mkuu, utaalam wa kutengeneza juisi za Azam au maji ya Kilimanjaro kwa IPP ni hazina kwa wenye hivyo viwanda.
Unajua kila kila bidhaa inayotengezwa duniani kuna siri Fulani ambayo haipaswi kujulikana kwa washindani wa kibiashara?
Si lazima wawe majasusi wa Marekani.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa wakawepo majasusi wa kutoka humuhumu barani Afrika.
Mbona kuna watu wamegunduliwa wanafanya kazi serikalini ilhali si raia wa Tanzania?
Je hilo ni kosa la nani?
Helikopta inayotumia injini ya gari na mafuta ya petroli ulitegemea inhepaa?Kuna yule jamaa alietengeneza helkopta, nae ameiba technology pia
Sisi tumezoea kutoa nakala za vitabu vya watu, baadhi ya wamiliki wa stationery ndiyo wanafundisha plagiarism!Mtu kama yule alietengeneza helikopta ndiyo wanastahili kulindwa kwa ubunifu wao. Ni sawa na ukiangalia baiskeli ambazo zinatumiwa na baadhi ya nchi kwenye michezo ya Olimpiki ni kwamba hutakuja kuona au kufahamu formula na michoro iliyotumiwa kuunda baiskeli hizo.
Hiyo ndio inaitwa "intellectual property", na si tu hio kazi kama za usanii wa kuimba au kuchonga vinyago.
Ukibuni kinyago inatakiwa ulinde kipaji chako ulichotumia kubuni na kutengeneza kinyago hicho, na hata mtu akitaka kuiga anashindwa kama una protection ya kazi yako.
Hiyo technology ya kupaki maji wameinunua hukohuko kwa wadukuzi labda kama imefutika kwenye server zao ndio waje kuitafuta.Mkuu, utaalam wa kutengeneza juisi za Azam au maji ya Kilimanjaro kwa IPP ni hazina kwa wenye hivyo viwanda.
Unajua kila kila bidhaa inayotengezwa duniani kuna siri Fulani ambayo haipaswi kujulikana kwa washindani wa kibiashara?
Si lazima wawe majasusi wa Marekani.
Kuna uwezekano mkubwa kabisa wakawepo majasusi wa kutoka humuhumu barani Afrika.
Mbona kuna watu wamegunduliwa wanafanya kazi serikalini ilhali si raia wa Tanzania?
Je hilo ni kosa la nani?
Acha basi kusema waijue Africa mkuu hivi wazungu kipi hawakijui Africa sababu kuigawa tu saivi unajua Tanzania Egypt Nigeria Zimbabwe wao ndio wamezigawa na kujenga from the scratch kuweka mifumo kuanzia elimu afya dini mavazi vyakula kilimo biashara wao ndio wametufundisha.Tena developing countries ndo target yao ili kuzinyonya kiuchumi na source ya markets ya bidhaa zao mkuu. Usidharau ni muhimu sana kuijua Africa ili watunyonye vizuri, kuanzia mikataba.
Yule kashadukuliwa faster na msouth Africa saivi anawaeleza mwenyewe a mpaka be.Kuna yule jamaa alietengeneza helkopta, nae ameiba technology pia