Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari

Ujasusi wa Kiuchumi na Kiteknolojia unakuwa kwa kasi, Je Tanzania iko tayari

Tena developing countries ndo target yao ili kuzinyonya kiuchumi na source ya markets ya bidhaa zao mkuu. Usidharau ni muhimu sana kuijua Africa ili watunyonye vizuri, kuanzia mikataba.
Kivipi wakati mikataba yote ya uwekezaji inawabeba au we huoni
 
Kivipi wakati mikataba yote ya uwekezaji inawabeba au we huoni
Sasa wao hufanya uchunguzi pa kuangalia weakness ili watunyonye, wakati cdhani ka wana intelligence wetu huchunguza kwanza hao wawekezaji, na impact yake kiuchumi.
 
Kuna yule jamaa alietengeneza helkopta, nae ameiba technology pia
 
Kuna yule jamaa alietengeneza helkopta, nae ameiba technology pia

Mtu kama yule alietengeneza helikopta ndiyo wanastahili kulindwa kwa ubunifu wao. Ni sawa na ukiangalia baiskeli ambazo zinatumiwa na baadhi ya nchi kwenye michezo ya Olimpiki ni kwamba hutakuja kuona au kufahamu formula na michoro iliyotumiwa kuunda baiskeli hizo.

Hiyo ndio inaitwa "intellectual property", na si tu hio kazi kama za usanii wa kuimba au kuchonga vinyago.

Ukibuni kinyago inatakiwa ulinde kipaji chako ulichotumia kubuni na kutengeneza kinyago hicho, na hata mtu akitaka kuiga anashindwa kama una protection ya kazi yako.
 
Hivi kuna anaeweza kunifahamisha kama bado Tanzania tunacho kiwanda chetu cha baiskeli cha Swala?

Je, bado kinamilikiwa na mtanzania au nacho kiliuzwa?
 
Tanzania tumelala, tukija amka tusha lalwa, tumelaliwa na kukojolewa

Unafiki kama wewe ni mtu mwenye dhamana ya kuangalia vifaa vyote vya kompyuta katika ofisi unayofanyia kazi, utawezaje kuweka taratibu za ulinzi wa siri za kampuni yako?

Yaani secrets of a company au corporate security.
 
Sisi hatuna cha kudukuliwa, nchi ya wachuuzi hii ndio maana mitaa kama kongo na mingineyo kariakoo imejaa wauza kila kitu kutoka nje!

Ndio maana TCRA wanahangaika na majina bandia na vichupi mitandaoni kwakuwa mitambo yao ina program ya kudeal na hivyo tu sio technology au uchumi wetu.

Mbona wanyama hai (Twiga, Ndege na Tumbiri) nyara za serikali kama meno ya Tembo na mambo mengine mazito (dhahabu) yaliweza kuvushwa pale JNIA?
 
Mbona wanyama hai (Twiga, Ndege na Tumbiri) nyara za serikali kama meno ya Tembo na mambo mengine mazito (dhahabu) yaliweza kuvushwa pale JNIA?
Hivyo sio majina bandia wala vichupi, mitambo yao haivisomi!
 
Mkuu, utaalam wa kutengeneza juisi za Azam au maji ya Kilimanjaro kwa IPP ni hazina kwa wenye hivyo viwanda.

Unajua kila kila bidhaa inayotengezwa duniani kuna siri Fulani ambayo haipaswi kujulikana kwa washindani wa kibiashara?

Si lazima wawe majasusi wa Marekani.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa wakawepo majasusi wa kutoka humuhumu barani Afrika.

Mbona kuna watu wamegunduliwa wanafanya kazi serikalini ilhali si raia wa Tanzania?

Je hilo ni kosa la nani?

Unanikumbusha soda yetu ya Double Cola.. Ilidukuliwa na walupopata formula baaasi kiwanda kilikufa...
 
Mtu kama yule alietengeneza helikopta ndiyo wanastahili kulindwa kwa ubunifu wao. Ni sawa na ukiangalia baiskeli ambazo zinatumiwa na baadhi ya nchi kwenye michezo ya Olimpiki ni kwamba hutakuja kuona au kufahamu formula na michoro iliyotumiwa kuunda baiskeli hizo.

Hiyo ndio inaitwa "intellectual property", na si tu hio kazi kama za usanii wa kuimba au kuchonga vinyago.

Ukibuni kinyago inatakiwa ulinde kipaji chako ulichotumia kubuni na kutengeneza kinyago hicho, na hata mtu akitaka kuiga anashindwa kama una protection ya kazi yako.
Sisi tumezoea kutoa nakala za vitabu vya watu, baadhi ya wamiliki wa stationery ndiyo wanafundisha plagiarism!
 
Sisi tumezoea kutoa nakala za vitabu vya watu, baadhi ya wamiliki wa stationery ndiyo wanafundisha plagiarism!

Lakini wapo wasanii wa kuimba, wachonga vinyago, wabunifu na wajasirimali wengine.
 
Mkuu, utaalam wa kutengeneza juisi za Azam au maji ya Kilimanjaro kwa IPP ni hazina kwa wenye hivyo viwanda.

Unajua kila kila bidhaa inayotengezwa duniani kuna siri Fulani ambayo haipaswi kujulikana kwa washindani wa kibiashara?

Si lazima wawe majasusi wa Marekani.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa wakawepo majasusi wa kutoka humuhumu barani Afrika.

Mbona kuna watu wamegunduliwa wanafanya kazi serikalini ilhali si raia wa Tanzania?

Je hilo ni kosa la nani?
Hiyo technology ya kupaki maji wameinunua hukohuko kwa wadukuzi labda kama imefutika kwenye server zao ndio waje kuitafuta.
 
Tena developing countries ndo target yao ili kuzinyonya kiuchumi na source ya markets ya bidhaa zao mkuu. Usidharau ni muhimu sana kuijua Africa ili watunyonye vizuri, kuanzia mikataba.
Acha basi kusema waijue Africa mkuu hivi wazungu kipi hawakijui Africa sababu kuigawa tu saivi unajua Tanzania Egypt Nigeria Zimbabwe wao ndio wamezigawa na kujenga from the scratch kuweka mifumo kuanzia elimu afya dini mavazi vyakula kilimo biashara wao ndio wametufundisha.

Kwakweli mzungu anaijua Africa zaidi anavyoijua America au Europe hakuna cha kuwaficha kabisa Africa.
 
Wakuu ahsanteni sana kwa michango yenu mizuri iliyosheheni elimu mliyo nayo kuhusu ujasusi.

Ingawa kuna mada ingine inayohusu majasusi na inaelezea kwa kina kuwa hawa ni watu wa aina gani, mimi ntaendelea kujikita zaidi katika eneo hili la ujasusi wa kiuchumi na kiteknolojia ambalo kwa sasa ndilo linalozidi kukua kwa kasi siku hadi siku.

Pia changamoto mbalimbali ambazo mataifa ya Afrika yanaelekea kukutana nazo.

Ntaendeleza kidogo sehemu mablimbali kuhusu namna na jinsi ya kujihadhari na ujasusi huu.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom