Ujasusi wa Kiuchumi unavyombeba Bakhersa Group

Ujasusi wa Kiuchumi unavyombeba Bakhersa Group

Du! hapa hukusema kuwa unga wa Azania unauzwa Rwanda toka kiwanda kiko Mwenge late 1990's. Hii ni sawa na case ya Acacia na Inayoitwa Twiga tofauti later walikuwa wanazungumzia Kahama Gold Mine Ltd na North Mara Gold Mine (Hii Migodi iko vile vile tu) sarakasi zilikuwa mbwembwe tu za watawala.

Azania unga unauzwa Kigali, majasusi wapya nendeni na field kupunguza bookish katika story. na kama huu ni ujasusi basi mara 800 ule wa Willy Gamba.
Mkuu mimi nimesimulia kisa cha kesi, hivyo unataka nizungumze ambacho hakiko kwenye kesi husika? Rejea vyanzo hivyo nilivyokuwekea hapo
 
Kilatha,
Kama haubishi uwepo wa sheria na unaamini in respect of the rule of law, basi alichofanya bakhressa ni legal.

Mikoani traders alipewa haki ya kisheria ya kufile IP kwa ajili ya brand name take ya Azania lakini hakufanya hivyo kwa sababu anazozijua yeye, iweje MTU mwingine akipewa hiyo brand name ambayo ilikuwa haina mmiliki atake kupata haki za kama mmiliki wa IP wakati hakufanya wajibu wake.
 
Bakhresa hana shida ya kutumia Azania katika bidhaa zake.

Alichotaka yeye ukisoma na post za wengine humu ndani iwapo Azania alikuwa ana supply kutokea Tanzania, basi lengo ni kumminyia advantage za kuzalishia Rwanda.

Kwanini afanye ivyo? Sababu Azania brand tayari walaji huko wanaitambua na brand awareness ni kitu muhimu sana kwenye biashara.

Japokuwa sifuatilii policy za biashara nchini Rwanda ila kutokana na alichofanya Bakhresa my guess ni kwamba gharama za uzalishaji zipo chini huko kulinganisha na Tanzania (vinginevyo even with economies of scale it makes business sense to transport finished products kushinda raw material).

Sasa kwanini hizi biashara ziwe tayari kufanya vice versa (wapeleke raw material kuzalishia Rwanda badala ya finished products) the answer is simple gharama za uzalishaji ni nafuu zaidi huko it makes economic sense.

Kwa uelewa huo ndio maana Bakhresa kaona asajili hiyo Brand ya Azania Rwanda, ili mwenzake asifaidike na gharama nafuu za uzalishaji atakapoamua na yeye kwenda huko. By undercutting production cost kwenye bidhaa zake ina maana zitakuwa cheaper zaidi ya Azania ambae inabidi alete kutoka Tanzania; faida yake nyingine ni biashara kuwa karibu zaidi na wateja.

Sasa hakuna serikari makini itakayo entertain such ill motives hiyo siyo misingi ya patents protection, kuacha vitu kama ivyo ni hasara kwa walaji na kudumaza soko la ushindani. Issue sio law bali business ethics.
 
Losers wakubwa sio Mikoani Traders, bali ni Rwanda kwa kubariki anti competition practice. Kwanza wanazuia price wars kati ya hao washindani ambapo faida ingeenda kwa walaji, wanabariki kukosesha vijana ajira kwa kuzuia kampuni mpya kuingia na kujinyima mapato ya kodi.

Simply ni bad decision from Rwanda government, mtu awezi kusajili brand ya mwenzake kwa lengo kumzuia kuingia sokoni na wewe ukabariki that’s just a bad business policy.
Hujaelewa vizuri hii thread
 
Af bakhresa anajifanya muislam safi,!!
Losers wakubwa sio Mikoani Traders, bali ni Rwanda kwa kubariki anti competition practice. Kwanza wanazuia price wars kati ya hao washindani ambapo faida ingeenda kwa walaji, wanabariki kukosesha vijana ajira kwa kuzuia kampuni mpya kuingia na kujinyima mapato ya kodi.

Simply ni bad decision from Rwanda government, mtu awezi kusajili brand ya mwenzake kwa lengo kumzuia kuingia sokoni na wewe ukabariki that’s just a bad business policy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yericko Nyerere,
Ungekishusha bei walau 10000 -15000 ungeuza zaidi.Mi nimejifunza kitu hapo kwenye nembo ya kampuni.Hivi kokakola kama hawajasajili nchi Fulani je mt huyo anaweza kusajili hilo Nina.Jambi lingine kwa faida ya wengine unaposajili kampuni mpya unaweza tumia nembo ya Giant ila unachezesha kidogo, hii imetumika na wchina.Mfano Nokia unaweza badili ikawa Nockia.Sokoni watu hawako makini na watavutika na kununua kumbe kampuni tofauti.
 
Issue sio law bali business ethics.
[/QUOTE]

Unavyofikiri legality na business ethics, kipi chenye uzito zaidi?

Madhumuni ya kampuni ni kutengeneza faida kwa ajili ya wanahisa.

Unajua kampuni kama Unilever kuna nchi wanatengeneza vipodozi vya kujichubua kwa sababu kuna soko kubwa na sheria za nchi husika hazikatazi au bado hazijapiga marufuku vipodozi vya kujichubua.

What they are doing is legal lakini ukija kwenye business ethics it is wrong.

Alichofanya SSB ni legal na ukija kwenye suala la if it is ethical, me naona majibu yatakuwa subjective.

Na we lazima ujue business is very competitive, watu wanatumia all kinds of dirty tricks to win your market share, ukianza kuleta mambo ya business ethics as a competing strategy you might as well say " me namuachia Mungu tu".
 
Back
Top Bottom