Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #21
Mkuu mimi nimesimulia kisa cha kesi, hivyo unataka nizungumze ambacho hakiko kwenye kesi husika? Rejea vyanzo hivyo nilivyokuwekea hapoDu! hapa hukusema kuwa unga wa Azania unauzwa Rwanda toka kiwanda kiko Mwenge late 1990's. Hii ni sawa na case ya Acacia na Inayoitwa Twiga tofauti later walikuwa wanazungumzia Kahama Gold Mine Ltd na North Mara Gold Mine (Hii Migodi iko vile vile tu) sarakasi zilikuwa mbwembwe tu za watawala.
Azania unga unauzwa Kigali, majasusi wapya nendeni na field kupunguza bookish katika story. na kama huu ni ujasusi basi mara 800 ule wa Willy Gamba.
Bakhresa hana shida ya kutumia Azania katika bidhaa zake.Kama haubishi uwepo wa sheria na unaamini in respect of the rule of law, basi alichofanya bakhressa ni legal.
Mikoani traders alipewa haki ya kisheria ya kufile IP kwa ajili ya brand name take ya Azania lakini hakufanya hivyo kwa sababu anazozijua yeye, iweje MTU mwingine akipewa hiyo brand name ambayo ilikuwa haina mmiliki atake kupata haki za kama mmiliki wa IP wakati hakufanya wajibu wake.
Hujaelewa vizuri hii threadLosers wakubwa sio Mikoani Traders, bali ni Rwanda kwa kubariki anti competition practice. Kwanza wanazuia price wars kati ya hao washindani ambapo faida ingeenda kwa walaji, wanabariki kukosesha vijana ajira kwa kuzuia kampuni mpya kuingia na kujinyima mapato ya kodi.
Simply ni bad decision from Rwanda government, mtu awezi kusajili brand ya mwenzake kwa lengo kumzuia kuingia sokoni na wewe ukabariki that’s just a bad business policy.
Losers wakubwa sio Mikoani Traders, bali ni Rwanda kwa kubariki anti competition practice. Kwanza wanazuia price wars kati ya hao washindani ambapo faida ingeenda kwa walaji, wanabariki kukosesha vijana ajira kwa kuzuia kampuni mpya kuingia na kujinyima mapato ya kodi.
Simply ni bad decision from Rwanda government, mtu awezi kusajili brand ya mwenzake kwa lengo kumzuia kuingia sokoni na wewe ukabariki that’s just a bad business policy.
Busara ni kujikita kwenye biashara, hayo dini tuyaache.