Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni

Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni

Freelancer

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
2,965
Reaction score
2,147
Hii ni news from Reuters kwamba kuna firmware imekuwa planted na moja ya intelligence agencies katika kila hard disk zinazotoka nchini marekani.

Hii firmware ina start pale unapo boot computer. Through that firmware wanaweza waka track averything stores on your machine. The only organization that can pull this stunt is NSA.

Kwa hiyo TISS na JWTZ kama computer zenu zipo kwenye mtandao au computer kama laptop zinazotumiwa na top officials zipo kwenye mtandao hapo mju tayari NSA knows everything.

KWeli aliye mbebe kwenye technology ndo atatawala dunia

[h=1]Possibility of NSA having a spy firmware in each hard disk[/h]
 
TISS wana mfumo wao wa peke yao wa mawasiliano ngoja niishie hapa.but we are safe

Huwezi kuwa safe kama unatumia products za Huawei. Watu wana-focus only kwenye mashirika ya Magharibi lakini ukweli ni kwamba China kupitia Huawei anafanya ujasusi wa hali ya juu. Vifaa vinaingia na hakuna mtu anayevikagua kutambua chips zilizowekwa purposely kwa ajili ya kurekodi digital files.

Serikali ime-focus kupeleka vijana kusomea mambo ya mafuta lakini wanasahau kupeka vijana kusomea information security. Je hao wataalamu wa mafuta wataweza ku-protect info zinazohusiana na uchimbaji hadi uuzaji wa mafuta? Fuatilia Stuxnet ujuwe watu walivyo-advance kwenye cyber warfare.
 
TISS wana mfumo wao wa peke yao wa mawasiliano ngoja niishie hapa.but we are safe

hatuongelei mfumo wa mawasiliano tu. tunaongelea kitendo cha kutumia computer to type anything ni issue. The moment ile computer itapokuwa connected kwenye mtandao ita transfer document zote ulizozizitype kwa hiyo PC hata kama hilo faili litakuwa limefutwa. Mfumo wa mawasialiano gani ambao hauwezi kuwa hacked? Kama ni radio communication still watu wana scramble frequency. Hatuna uwezo wa kuzuia penetration kutoka kwa hawa mabwana wakubwa. hizo gari wanazoendesha TISS zinanunuliwa wapi? Je hakuna planted devices huko zinapotoka? Hivyo vifaa vyote wanavyotumie do they scan them for bugs wakivinunua? Kama wantumia any electroni c equipments hawapo safe. Ndo maana Osama alikuwa hatumii vifaa vya electronics including satelite dish.
 
Mfumo gani ata komputer wanazotumia hawajui zimetokea wapi na zimetengenezwa na kampuni gani! Labda gud things CIA hawana cha mhimu cha kuchukua kwetu.

Mkuu,
Hapo umegongelea kwenyewe. CIA has nothing kukomba kwenye jeshi letu, hata hivyo vitu viko uchi basi ni uzalendo ndiyo una-matter. CIA wenyewe wanahitaji kujua ni nani anafuatilia Uranium yetu basi, nothing else.

China katoa misaada kwenye taasisi nyeti hadi bunge lakini hakuna mtu ambaye anashtuka kukagua hizo devices. Fuatilieni mambo ya Huawei mjue ni vitu gani ambavyo walikuwa wanafanya hadi wakafikia hata kufukuzwa kwenye baadhi ya nchi. Sisi wabongo ndo tunakimbilia modem, routers, TV, PCs, tablets etc bila kushtuka. Hata jengo la AU makao makuu hakuna aliyeshtuka kuangalia devices zilizokuwa-installed mule na wa-China wakati ndiko kunafanyikia vikao vya wakuu wa nchi za Afrika. Poor my country and continent.
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano

Teh.! National threat hivi tangu obama kuondoka wamesha kagua paa la ikulu kama hapakuachwa kitu? Teh teh huo mfumo wa kipekee umegunduliwa na wataalam wetu au ni kupitia shule za weupe? Ntarudi badae kdogo
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano
ha ha ha acha makidai wewe. Wewe unatumia device gani kutuma meseji hapa jamii forums? Je unatuma ukiwa ofisini? Hicho kisimu chako kinaweza kuwa hacked kikawa na listening device watu wakasikiliza maongezi yanayoendelea ofisini kwenu
 
Teh.! National threat hivi tangu obama kuondoka wamesha kagua paa la ikulu kama hapakuachwa kitu? Teh teh huo mfumo wa kipekee umegunduliwa na wataalam wetu au ni kupitia shule za weupe? Ntarudi badae kdogo
Achana na porojo za huyo jamaa. Jengo refu lilikuwa linajengwa karibu na ikulu hawakuliona hilo mpaka walivyokuja secret service halafu eti ndo anasema wapo makini. Analeta hadithi za abunuwasi:heh:
 
TISS wana mfumo wao wa peke yao wa mawasiliano ngoja niishie hapa.but we are safe
Hizo device na application mbalimbali mnatengeneza wenyewe kiasi kwamba hata mataifa yaliyoendelea yasiweze,au tuseme TISS ipo juu kuliko ujerumani
 
Back
Top Bottom