Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni

Serikali ime-focus kupeleka vijana kusomea mambo ya mafuta lakini wanasahau kupeka vijana kusomea information security.

Hujui unachoongea.Usilolijua ni kama usiku wa giza.Ulitaka serikali iitishe press conference na kutangaza vyombo vyote vya habari kuwa inahitaji vijana kuwapeleka kusomea information security kama wanavyofanya kwa waendao kusomea mafuta? Kwa taarifa yako wapo.
 
Nilishangaa sana kumuona balozi wa china akimkabidhi spika makinda computer kadhaa za kutumika ofisi za bunge ambapo ni zawadi kutoka serikali ya china.

Cha ajabu ni nini shughuli za bunge zote sio confidential .Record huwekwa kwenye hansard ambazo ni rekodi za wazi ambazo yeyote aweza soma.Bunge sio kituo cha kijeshi!!!!!!
 
Anitafute Mimi Ukiwa Na Maana Gani? Mkuu Naona Unataka Kunitanguliza!

Mkuu si ili usibitishe maneno yake. Linapokuja suala la Usalama sina shaka ujuzi huo unao so nmekukaribisha ukumbini
 
Hujui unachoongea.Usilolijua ni kama usiku wa giza.Ulitaka serikali iitishe press conference na kutangaza vyombo vyote vya habari kuwa inahitaji vijana kuwapeleka kusomea information security kama wanavyofanya kwa waendao kusomea mafuta? Kwa taarifa yako wapo.

Wewe ndiyo hujui chochote, na wala siwezi kujibizana na wewe mburula kwenye Information Assurance. Muulize Waziri mwenye dhamana kuwa August 2014 alikutana na Mtanzania gani ambaye amebobea kwenye Information Assurance na waliongea nini kuhusu mambo ya Information Security, na alitoa ombi gani kwake. Sina hakika kama utapata bahati ya kujua kinachoendelea in the gov kama ambavyo mimi naelewa particularly kwenye hilo eneo. Mambo mengine siwezi kuyaweka hapa as ni kuivua gov nguo. So, pick up the phone and make an appointment naye ili upate briefing (state of information security). Good luck.
 
Mkuu si ili usibitishe maneno yake. Linapokuja suala la Usalama sina shaka ujuzi huo unao so nmekukaribisha ukumbini

Kwanza Hata Siwajui Watu Wa Usalama Labda Wewe Ndiyo Unifundishe Na Niweze Kupata Uzoefu Na Kazi Waifanyayo Hao Wana Usalama.
 
Wewe ndiyo hujui chochote, na wala siwezi kujibizana na wewe mburula kwenye Information Assurance. Muulize Waziri mwenye dhamana kuwa August 2014 alikutana na Mtanzania gani ambaye amebobea kwenye Information Assurance na waliongea nini kuhusu mambo ya Information Security, na alitoa ombi gani kwake. Sina hakika kama utapata bahati ya kujua kinachoendelea in the gov kama ambavyo mimi naelewa particularly kwenye hilo eneo. Mambo mengine siwezi kuyaweka hapa as ni kuivua gov nguo. So, pick up the phone and make an appointment naye ili upate briefing (state of information security). Good luck.
Aaaaaannhaaaaaa,let me guess, you are..............
 
Mkuu,
Hapo umegongelea kwenyewe. CIA has nothing kukomba kwenye jeshi letu, hata hivyo vitu viko uchi basi ni uzalendo ndiyo una-matter. CIA wenyewe wanahitaji kujua ni nani anafuatilia Uranium yetu basi, nothing else.

China katoa misaada kwenye taasisi nyeti hadi bunge lakini hakuna mtu ambaye anashtuka kukagua hizo devices. Fuatilieni mambo ya Huawei mjue ni vitu gani ambavyo walikuwa wanafanya hadi wakafikia hata kufukuzwa kwenye baadhi ya nchi. Sisi wabongo ndo tunakimbilia modem, routers, TV, PCs, tablets etc bila kushtuka. Hata jengo la AU makao makuu hakuna aliyeshtuka kuangalia devices zilizokuwa-installed mule na wa-China wakati ndiko kunafanyikia vikao vya wakuu wa nchi za Afrika. Poor my country and continent.

You are very right.
Why the United States Is So Afraid of Huawei | MIT Technology Review
 
kama makampuni yetu ya sim ndo wanunuzi wakubwa wa haya ma server na mitambo toka huawei na wakiwa wamarekani wanatengeneza back doors ina maana china tayari wanazo formal door je mawasiliano yetu yako salama kwa kiasi gani??.makampuni ya sim yanasemaje na serikali inasemaje??

serikali inampango gani na kukuza tec zetu,ikiwa jeshi bado linatumia yahoo adress na hii vita ya cyber war inatuathiri kwa kiasi gan??,hizi corporate company zetu zinajilinadaje??

je tuna bajeti ya kukuza technlogia yetu ikiwa elimu inapata fungu dogo kwenye bajeti yote,

kama kenya wameamua kuwekueza kwenye techlogia na kununua computer kwa wanafunzi wao..sisi tunawekeza kwenye nn??..maanna after some years kenya itakuwa mbele saana kwenye tec hapa east africa
Je Cyber crime unit ya police inakizi mahitaji yote ya jamii kwenye uharifu wa kimitandao?

are we naked?.
 
Ninakubaliana na wewe kabisa. Kwa kujibu swali lako...YES, we are naked.
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano

kaka we wa ajabu sana,hv Tz na Germany au uingereza nani yupo juu ki technologia.USA una hack infor za hayo mataifa ashindwe Tz
 
TISS wana mfumo wao wa peke yao wa mawasiliano ngoja niishie hapa.but we are safe

Kwani TISS ni nini nieleshe Mkuu
maana yake ni nini maana naona kila wakati TISS nijuzeni twende sawa
 
Back
Top Bottom