Mkuu,
Hapo umegongelea kwenyewe. CIA has nothing kukomba kwenye jeshi letu, hata hivyo vitu viko uchi basi ni uzalendo ndiyo una-matter. CIA wenyewe wanahitaji kujua ni nani anafuatilia Uranium yetu basi, nothing else.
China katoa misaada kwenye taasisi nyeti hadi bunge lakini hakuna mtu ambaye anashtuka kukagua hizo devices. Fuatilieni mambo ya Huawei mjue ni vitu gani ambavyo walikuwa wanafanya hadi wakafikia hata kufukuzwa kwenye baadhi ya nchi. Sisi wabongo ndo tunakimbilia modem, routers, TV, PCs, tablets etc bila kushtuka. Hata jengo la AU makao makuu hakuna aliyeshtuka kuangalia devices zilizokuwa-installed mule na wa-China wakati ndiko kunafanyikia vikao vya wakuu wa nchi za Afrika. Poor my country and continent.