Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni

-Bora tupelelezwe na China ila sio USA.
-Sijawahi ona China ikivamia nchi ya watu na kupora mali kama afanyavyo USA.
-Nitatumia Lebovo, Huawei n.k ila sio Apple.
 
viongozi wetu si wamezoea misaada kama nikweli ujasusi upo kwenye hard disk au usb camera au miwani basi tupo u tupu hapa kwetu
 

If you know all of that.... why don't they (TISS) know it as well.. perhaps more??
 
Please.. endelea mkuu. Nieleweshe ili niweze jua nini sikijui. Kuishia hapo ulipo ni kuafikiana na mimi nisiyejua kitu

Mkuu hakuna tija yeyote kuendelea na ambishano tufanye yameisha
 
Government ijaribu kutunyanyua wana tech ili kuja kusuka mifumo salama ya mawasiliano yani tuagize tu vifaa nje but circuit nzima isukwe apa kama pc au hata mobile zinazotumiwa ni viongozi mfumo wa vyuo vya tech ubadilishwe pia badala ya kusoma installation na maintenance tuanze kusoma production and design Hapo wataalamu bora watapatikana kwenye technology tuondoe siasa habari za kubebana kindungu tuziache kwenye mambo ya procurement hapa tuchukue greater thinker...All in all mbabe wa technology ndo anatawala dunia
 
Mhh hii kitu ipo technical sana..Niulize NSA wanatumia teknolojia gani kutransmitt hizo data ktk kwenye hard drive??sababu kuweza kufanya surveillance kama hyo unahitaji kifaa unachochunguza kuwa na uwezo wa kuwasiliana back n forth.Bila kuwa na Bluetooth,infrared,Data access yaani internet computer yoyote haiwezi kutransmitt data.IT'S A HOAX NO SUCH FIRMWARE EXISTS!!
 

Mkuu usalama unaupata unapokuwa na teknolonia yako kwanza. Lakini ukitumia technologia ya mwenzako kuwa salama ni kazi sana. Usalama wako unakuwa mikononi mwa mwenye teknologia. Hiyo information security tunayofunzwa ni kwa kiwango fulani tu. Lakini system nyingi ziko complicated na anaye jua zaidi ni owner wa hiyo technology
 

Na hapo ndipo utata unapoanza. Ndugu zangu electronic technology ni wide na ndio ina lead technology nyingine. Hivyo tunatakiwa kuwekeza huku kwa nguvu zote. Sio miaka kibao mtu yupo chuoni anajifunza kutumia na kufanya marekebisho madogo madogo
 

Wewe unajua TISS wanatumia computer brand gn?
 
If you know all of that.... why don't they (TISS) know it as well.. perhaps more??
We ujakutana na moderators uchwara humu ndani mbona wanawafanyia watu wengi tu humu JF. Jaribu kufungua sensitive websites za nchi za nje halafu jaribu kufanya application utapata warning na kuwa logout automatically kuna mtu anachukua information unazo type.

Kibaya zaidi wanaharibu na hard drive yako never put useful information on your machine kama unashinda JF kuna watu awana kazi au usiandike mikakati yako kama washajua ip yako au zako.

Mi nimeanza kuwaona mafala surely you cant keep nosing on other business.
 
Wewe unajua TISS wanatumia computer brand gn?

Wewe kichwa chako hakiko sawa, usipende kujionesha unajua hata yale usiyoyajua, unajichoresha.

Hawa JF wanajua mpaka ip yako na hauko salama kama ulikuwa unajidanganya.
alamsiki.
 
Na hapo ndipo utata unapoanza. Ndugu zangu electronic technology ni wide na ndio ina lead technology nyingine. Hivyo tunatakiwa kuwekeza huku kwa nguvu zote. Sio miaka kibao mtu yupo chuoni anajifunza kutumia na kufanya marekebisho madogo madogo

Dr.Mshinda wa COSTECH tunakuomba ulifanyie kazi,tuna imani unaliweza saana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…