Ujasusi wa kwenye hard disk za computers ulimwenguni

ahsante
 
ha ha ha acha makidai wewe. Wewe unatumia device gani kutuma meseji hapa jamii forums? Je unatuma ukiwa ofisini? Hicho kisimu chako kinaweza kuwa hacked kikawa na listening device watu wakasikiliza maongezi yanayoendelea ofisini kwenu
daa dunia ina wenyewe
 
Freelancer if you can't fight them, then join them. there is no way we can fight the americans, all ai all hatuna maslahi ya moja kwa moja kwa marekani zaidi ya wao kuwa na maslahi ya moja kwa moja kwetu
 
Nakukubali kaka....umetype fact iliyoshiba mnoo.....!!..
 
Jamani tiss wanayajua yote hayo.....si wanakauli mbiu yao kwenye utendaji..."trust nobody...na kumuamini mtu ni kukikaribisha kifo"....
 
556282858790
kwani Tanzania ina mpango wa kupigana na china lini? au unataka kuaminisha watu kuwa wewe ni mtaalamu wa masuala ya usalama nchi hii kwa kubobea kuangalia movies za kivita na kijasusi? shame on you Indume Yene...
 
Jamani tiss wanayajua yote hayo.....si wanakauli mbiu yao kwenye utendaji..."trust nobody...na kumuamini mtu ni kukikaribisha kifo"....
Juma chief ina maana hawa jamaa wa TISS hawaongei wala kucheka na majirani ama ndugu zao na hawana marafiki kabisaaa. basi wanaishi maisha ya ajabu sana kama ndio hivyo
 
Sasa kama polisi ili wapate taarifa za kihalifu mpaka wawasiliane au waombe kwenye makampuni ya simu kwa kuwapigia magoti...badala ya serikali kuwezesha mfumo wote wa simu za mikononi kuwepo polisi...hiyo cyber crime ya polisi inasimamaje yenyewe.....ktk kupambana na uharifu..... kiufupi mwenye technology yake ndio yupo salama kwenye hili....
 
Katika karne hii ya 21 teknology ina part kubwa sana katika ujasusi. Ndo maana hata mkurugenzi wa sasa wa ile taasisi yetu ni computer scientist...
 
Natamani kuongea ila itakua threat kwa national security ila kwa kifupi mi najua tuko safe na tuna mfumo wa peke yetu wa mawasiliano

Heheheee! Mkuu tunatumia njiwa na barua za kuandika (free hand ) au? Maana sizani kama tulishawahi vumbua teknolojia yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…