Ujembe huu unawalenga na kuwahusu wale wote wenye akili timamu tu na si vinginevyo

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu.

Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei

Utaona patakavyo changamka hizo siku.

NB: Kwenye ndoa Ziwa likilala Wala sio kesi Lakini ub-oo ukilala vikao Kila siku.
Manyanza Mzee wa kupambania Bush Dokta Natafuta Ajira
FB_IMG_1734634505439.jpg
 
View attachment 3180544
😃😃😃
Nipo hapa nimetulia Mkuu ujumbe sijauelewa ngoja nitausoma vizuri tena asbh
 
Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu.

Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei

Utaona patakavyo changamka hizo siku.

NB: Kwenye ndoa Ziwa likilala Wala sio kesi Lakini ub-oo ukilala vikao Kila siku.
Manyanza Mzee wa kupambania Bush Dokta Natafuta Ajira
View attachment 3180544
Wanawake sikuzote ni opportunists wako kimaslahi sana, ndio maana haifai kabisa kumpa kipaumbele mwanamke
 
Kumjaribu utiifu na uamimifu wa mpenzi wako sio mbaya. Sema mimi nashauri hayo majaribu mpe kila kipindi cha girlfriend and boyfriend mpaka kipindi cha uchumba. Ndoa ni hatua kubwa sana hivyo unatakiwa kuwa na uhakika mwanamke unaeingia nae kwenye ndoa anaweza kusimama na wewe katika kila hali
 
Back
Top Bottom