Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
😃😃😃Ya nini yote hayo,.
Kwanini kupeana majaribu
😃😃😃Ukweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu.
Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei
Utaona patakavyo changamka hizo siku.
NB: Kwenye ndoa Ziwa likilala Wala sio kesi Lakini ub-oo ukilala vikao Kila siku.
Manyanza Mzee wa kupambania Bush Dokta Natafuta Ajira
View attachment 3180544
Wanawake sikuzote ni opportunists wako kimaslahi sana, ndio maana haifai kabisa kumpa kipaumbele mwanamkeUkweli ndo huu wewe kama unajiona unapendwa mwambie wife naomba tuuze hii nyumba au kitu chochote Cha thamani. Akiuliza sababu mwambie nadaiwa nilikuwa nimekuficha Kwa muda mrefu.
Kaa na msimamo huo hata wiki Kisha leta wateja wa mchongo waje wazuge zuge kununua Kisha mshindwane bei
Utaona patakavyo changamka hizo siku.
NB: Kwenye ndoa Ziwa likilala Wala sio kesi Lakini ub-oo ukilala vikao Kila siku.
Manyanza Mzee wa kupambania Bush Dokta Natafuta Ajira
View attachment 3180544
Fungua account muonyeshe salio ndipo achukue uamuziKufa nimwoe mke wako
🤣🤣🤣unataka kujipakulia minyamaa?Kufa nimwoe mke wako