Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

Hayo masharti uliyaona?

Ebu tuwekee hapa hayo masharti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinga ww, wakati uyo jpm wenu utawala wake ndo ulikuwa wakifisadi , wasukuma mmekwisha
 
Nafikiri hapa kuna watu wanapaswa kuwajibika...
Spika kama kiongozi wa Mhimili Mkuu wa Serikali.. Bunge. Amekiri Rais alishauriwa vibaya...

Bila shaka yuko tayari kuwajibika. .maana nae haponi.

Akitoka yeye unafuata PM. Majaliwa nae haponi. Awajibike haraka.

Sijui kama mna mtazamo huu...

Ila hawa watu waondoke haraka.

And I see this coming very Soon.

Mama Samia aanze na Serikali yake Mpyaaa... Ili nae atapoondoka tujue wapi tunyooke nae.

Huwezi amini hata Mwezi bado tangu Magu aondoke.!!!
 
Akumbukwe na nani?
 
Kwa kumbukumbu zangu mzee aliwahi kusema, "mkataba unaongelea kwamba! Bandari ikikamilika mamlaka yote itakuwa chini ya wachina kwa kipindi cha miaka 40 kama sikosei, kisha ndipo itakabidhiwa kwa serikali ya Tanzania". Nakumbuka hapa ndipo wachambuzi wakawa wanailinganisha na SGR ya Kenya pamoja na namna wachina walivyo ivamia Zambia
 
Kama Spika na PM unataka wawajibike kwa nini unamruka aliyekuwa Makamu wa Rais, SSH...
Huyu mama ameruhusu awe loudspeaker ya wapuuzi wachache, na ameanzisha siasa chafu za kujaribu kumchafua JPM, alichokifanya JPM kitaendelea kukaa na kuonekana, yeye hamma anachoweza kufanya zaidi ya kuropoka ropoka tu ovyo.
 
Mzee, watz ni wezi sana, hapa kuna dalili zote kuna baadhi walishakula rushwa na vilevile JK anavuta kamba kwake mradi uendelee then kitakachofuata ni watz kulipa huo mkopo kizazi na kizazi.
 
Duhh...
Ndo Maji yashamwagika sasa.. Spika kukiri bungeni vile...there is no way you can reverse the statement.

Mbombo Ngafu...

Basi Serikali yote Ivunjwe...au mkataba uwekwe wazi Watanzania wote tuusome.

Maana Baba wa watu kalala hukoo . Anaonekana mbaya na hakuna wa kumtetea. Pole Magufuli
 
Mkalimaniii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119]
 
sioni kama lengo ni lumchafua JPM. mlitaka CAG afiche report akae kimya?
 

Ndugai ni mnafiki wa kiwango cha lami ,leo ndio anaongea kwamba wasiendelee kununua ndege kwasababu ya hasara wanayopata ATCL ,sijui kipindi chote alikuwa wapi.
 
Alikuwa Ndugai mwenyewe na Makonda
 
Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Endapo Tanzania itakuwa too open kwa hii miradi mfano bandari ya Bagamoyo, LNG plant na baadhi ya mambo ambayo mama aliyazungumza juzi kati.

Watanzania tusije kumlaumu mtu dawa zitakopokosekana Mahospitali...
 
Hivi Tanzania kweli tuna shida sana ya Bandari au kuna watu wanataka kutupiga.Tuunganishe nchi jirani kwa SGR na tuboreshe Bandari ya Tanga na Mtwara.Nakubariana na Hayati Magufuli kwenye hili la kuitosa Bandari ya Bagamoyo.Kama wachina wapo serious twende Liganga na Mchuchuma kwenye Chuma na Makaa ya mawe.
 
hiyo ni lugha ya kisiasa ki ukweli mwendakwao alidai hapangiwi na mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…