Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Jinga ww, wakati uyo jpm wenu utawala wake ndo ulikuwa wakifisadi , wasukuma mmekwisha
Swali la msingi, Tujenge Bandari Kubwa(Africa) Karibu na Bandari ya Dar?Wekeni hadharani mktaba huo ujadiliwe na tanuru la fikra kisha majibu watayapata kwa uamuzi ulio sahihi.
Kwa vipi? Tuwekee hapa mkataba wa kweli, siyo unaodhaniwa, tuuchambue na sisi. Watu wanaogopa nini kuuchapisha?Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Siunajua lugha ile inampiga chenga ...
Iliandikwa lugha gan?Mkuu lazima tujiulize nani aliyempotosha mh raisi ..
Siunajua lugha ile inampiga chenga ...
Lengo linajulikana mzee, SSH mbona ameropoka na kujionyesha wazi yupo after kuchafua jina la JPM, mfano mwepesi inshu Kigwangala JPM alishawahi kuisema hadharani kabisa kuwa Waziri anagombana na Katibu mkuu wake kwa kuwa Kigwangala anataka kutoa pesa bila ya kufuata utaratibu, na akawapa muda wapatane vinginevyo atawafukuza wote, leo JPM anaambiwa alikuwa anaiba 600m hizo za Clouds???sioni kama lengo ni lumchafua JPM. mlitaka CAG afiche report akae kimya?
Dahhh... Mkuu Mungu atusamehe 7×70...Huyo ndugai si alikuwa anasema atake asitake tutamuongezea muda??Sasa imekuaje tena
Pitia hapa rafikiNiliamini ungesema kidogo kwa nini alikuwa sawa
Wanafanya lobbying ndio wameanza na NdugaiSeems kuna watu wa awamu ya 4 ndio wana run the show ....
Habari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.
Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...
Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?
Uzi tayari
Umekosea swali.Aliyemshauri vibaya Ndugai ni nani?Habari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.
Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...
Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?
Uzi tayari
Hili hatuwezi kulikubali.Usenge wakuturudisha misri wakati tunaiona kanani haitawezekana asilaniBaada ya mwaka tu tutamkumbuka sana JPM, mafisadi wanaanza kurudi kwa kasi ya ajabu, JK is behind huu upuuzi wote, waweke mkataba wazi kama kweli una manufaa kwetu. SSH ni loudspeaker tu, nyaya zinatoka hukoooo, huyu ndio atakuwa Rais dhaifu na wa hovyo kuwahi kutokea Tz.
Spika angalia utakuja sutwa sana haya nenda polepole. Angalia mwenzako KigwaHabari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.
Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...
Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?
Uzi tayari
Habari wakuu
Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu.
Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani?
Mimi binafsi nina wasiwasi na mkalimani aliyekuwa anamtafsiria huo mkataba Hatati Magufuli, huenda ndie alimshauri na kumtafsiria vibaya mlolongo mzima wa mkataba huo.
Naamini huo mkataba haukuwekwa hadharani kujadiliana sasa aliyemtafasiria akampoteza ...
Kwani kuna mtu aliyeuona huo mkataba? Wabunge je?
Uzi tayari
Huo ukweli unaoufahamu wewe na spika ni upi weka hapa tuone wote tupime kila mtu aone kati ya Magufuli na Ndugai nani alidanganya/anadanganya watanzania.Deusdedit Kakoko na genge wenzake ndio walikua wanamjaza uwongo Magufuli
Dah. Nimeamini si kila anaekusifia, kukuchekea anamaanisha! Dunia imejaa wanafikHuyo ndugai si alikuwa anasema atake asitake tutamuongezea muda??Sasa imekuaje tena
ikijengwa na ika kamilika hii bandari ya bagamoyo ipo siku Tuta mkumbuka JPM....
JPM alikataa yale masharti yaliyo kuwepo baada ya kuona ni unyonyaji ulio kidhiri....
Ndungai toka mwanzo alitaka hii bandari ijengwe....
Lazima uangalia kuwa hapa kuna kitu..
Ila sawa Wa afrika Ku uzwa tumesha zoea
Ndugu yangu wanasiasa hawa si wa kuwapa dhamana,leo anasema hiki kesho anasema kileNdugai alikua mshauri wa Magufuli kwenye mambo gani??
Mambo mangapi itakua alimpotosha Rais??
Mambo mangapi atampotosha Rais wa sasa.
Tunafanya makosa sana kuwaacha hawa wanasiasa watuchezee akili namna hii.
Kwanini Ndugai asiachie ngazi tu kujiepusha na aibu zaidi??
Kweli kabisaAnasema hvi,Magufuli alikuwa na mapungufu yake,lkn kwa baadhi ya vitu km hivi,tutamkumbuka!