Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

Huyuu spika ndio hajapata ushaurii mzurii yeye kaoneshwa faida tuuu ila side effect kafichwa na bahat mby na yye hataki kqenda mbalu kudikiria hilo.
Huo mkataba ni bola hata uwekwe wazi wananchii tuujue.
 
Na huna ruhusa ya kunedeleza bandari yoyote kwa mda huo ,Amna mtu atakueweka 10B us dollar halafu akuxhie vifungu vya wew kujinafasi Kwenye mkataba amna anasema amna

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Ni Deusdedith
 
Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Boss naanza kukuheshimu you are so open minded...Barikiwa, watu kama wewe ni wachache sana nchini huku...Sisi wengine ni mahaba niue, wengine bendera fuata upepo, wengine mslahi kwanza Tanzania baadaye...Ila kwanini ulimchukia sana hayati? Just a friendly question usinipige mawe!
 
Kampeni za kifisadi zimeanza!. Radi!!!!!!!!!!!!!
 


Kati yetu sisi na wachina nani alipaswa kuandaa huo mkataba????
 
Reactions: Ame
Rais alikuwa hajui lugha ya kigeni ngoja tuone huo mkataba. Inawezekana mh spika aliuona huo mkataba.
 
Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Wataalamu pia waliukataa hup mradi kipindi cha Kikwete na shinikizo lililokuwepo wakavuta miguu kuu impliment hadi wakasubiri kaondoka wakautupa kwenye dustbin
Akina Ndugai wanataka mtu.ainame kwrnye dustbin auchukue urudi mezani
 
Mkuu, you can't be so sure. Mwendazake sometimes alikuwa too ambitious. Kwa akili ya kawaida tu Tanzania haviwezi Kuwa na bandari kubwa zaidi ya mbili hata tuwekeze mabilion ya dollar kuzikarabati. Yeye akifikiri ukizijdnga au kuzipanua basi meli zitakuja tu... Same thinking kwenye ndege. Alifikiri akijenga viwanja ndege zitakwenda huko. Wote tunajua what will happen to Chato International Airport. Au akijenga bunga ya wanyama watalii watakuja.... Wote tunajua what will happen to Burigi.

Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
 
Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Mkataba ungewekwa hadharani tuuone ili kuondoa utata. Maana Meko waweza kuta alichotuambia sicho kilichoandikwa kwenye mkataba... ili mradi amdhalilishe mtangulizi wake kama ilivyokuwa kawaida yake...
 
Mradi ule ulilenga kutufanya tuwe hub ya Afrika. Kiuchumi multiplying effect ya uwekezaji ule ndo Maana jk akaanzisha ujenzi wa terminal three. Ni vile tu siasa za kukomoana tuliziendekeza,rais alishauriwa vibaya naunga mkono hoja.
 


Unaweza usiamini nikikwambia sikuwahi kumchukia Magufuli..
Binafsi nilikua namuonea huruma.
Naamini makosa mengi aliyafanya with good intentions....
Nilikuwa namuonea huruma nilijua atashindwa mwishowe na naona kama kweli anakuja kushindwa ..atabaki kama Shahidi Kwa mashabiki wake..
Lakini nna mambo mengi Sana naweza kukuorodheshea ambayo niliyakubali
Kuna moja nilitoa hapa ushauri JF akaufanyia kazi...so simchukii kabisa ..Ila kuna baadhi ya
Matendo kwenye utawala yake niliyachukia
 
Reactions: Ame
Mradi ule ulilenga kutufanya tuwe hub ya Afrika. Kiuchumi multiplying effect ya uwekezaji ule ndo Maana jk akaanzisha ujenzi wa terminal three. Ni vile tu siasa za kukomoana tuliziendekeza,rais alishauriwa vibaya naunga mkono hoja.

Shida sio mradi
Shida ni mkataba wetu na wachina..
Idea ya Bandari ilikuwa Sawa
Na hata Magufuli alianza kutafuta wawekezaji
Wengine...
Wachina mkataba wao ni WA wizi mchana kweupe
 
Reactions: Ame
Rais Magufuli alikuwa na uwezo mzuri wa kusoma ata page 100 za M U sio kushauliwa tu, Naamini kuna vitu unaweza kuvisoma na ukavielewa direct na vingine ukaomba ufafanuzi, Naamini pasi na shakha Hayati aliletewa mpaka mezani aipitie mwwnyewe M.U , Pia naamini katika watu waliohusika 100% juu ya majadiliano ya miradi mikubwa bas Pro Kabudi anaijua vyema anaelewa mitego yote naye ndo alikuwa mwenyekiti wa tume za majadiliano karibu zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana Deusdedit Kakoko katimbuliwa kama hoja ya kwanza ya rais
 
Mie nilimpenda sana nanilijiambia kwa uzalendo ule hayo makosa ambayo hayakuwa na ulterior motives kwangu wala si makosa ni experience in the new path.....Sijawahi mpenda kiongozi kama nilivyompenda JPM...Mie ni miongoni waliofilisika kwenye regime yake, yet I couldnt hate kwakua niliamini alijenga welfare ya wengi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…