Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

Hakuna anaye mchafua JPM, sema pazia lililo kua linafunika uongo limefunguliwa kila mtu anaona.

Na bado kuna mafaili yakifunguliwa hii nchi itazizima yaaaani.

#Mimisiomnyonge

Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini mkataba usiletwe bungeni ukajadiliwa kwa uwazi kwa masilahi ya taifa.... nadhani Kikwete na serikali yake ndio waliosaini huu mkataba....wakatuaminisha kuwa ni mkataba mzuri kwa manufaa ya taifa....kwani hata meli kubwa zinazoishia Dubai...sasa zitafika kwetu moja kwa moja.....Magufuli na serikali yake wakasema..... mkataba mbovu.....Jana Ndugai.... Rais alishauriwa vibaya....amenishangaza zaidi eti Kuna wazee wa kichina wakiondoka hao hatuupati kabisa.....ili kuondoa hii sintofahamu mkataba uwekwe mezani....ujadiliwe....wanainchi tujue kipi ni kipi....wanasiasa sio watu kuwaamini Sana.
 
Labda Msukuma ! Hivi kwanza Jiwe alikua na washauri au wapambe?
Humu humu tunawacheka Wakunya na mkataba wa Wachina na kinachoendelea huko.
Magu hakukurupuka kukataa bandari na masharti yake. Kumbuka alikuwa Waziri wa ujenzi. Aliujua mkataba huu hata kabla ya kuwa rais kwa sababu mkataba huu mjadala ulianza tangu enzi za JK.
Watu walishapiga zao mpunga wapitishe mkataba huu. Magu alisubiri tu ufike kwenye level yake. Akawafungia watu ndani wauchambue mkataba. Wakamshauri haufai.

Kumbuka jopo lililochambua mkataba lazima lilihsusha usalama wa taifa, wanasheria, wanadiplomasia ya uchumi, wataalam wa mikataba hasa ya kimataifa na wanauchumi.
Watanzania hata magazeti tunasoma tu vichwa vya habari na kuanza kuchangia mada tukiwa hatujui yalyomo ndani.
 
Ulaji ulikosekana
 
Mimi naamini JPM kwenye hili alikuwa sahihi, kwa sababu hao Wachina ni watu walaghai sana...

Huwezi mjua Mchina vizuri kama hujaishi naye ukajifunza tamaduni zao...

Hawa jamaa ni mabepari fulani hivi wenye kujificha nyuma ya ujamaa...
 
Wewe si ndio ulikuwa kinara wa kutetea wanasiasa hata wale wabovu?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Lugha ya kimombo ilimpiga chenga Magufuli. So kuuelewa vibaya mkataba ulioandikwa kimombo ni sawa.
 
I had a consistent vision ya huyo mtu for 10 years kwakua nilichukia sana sana ufisadi; I thought alikuwa Dr. Slaa baadaye I had a clear message kwamba atakuja na maneno gani kwenye campaign, alipoyaandika duuh for the first time I met God live in those words were exactly like I saw them; na vision hizo nimeziandika humu......Thats how I came into attachment...Namshukuru Mungu kwakua hayati amekuwa kwangu ushuhuda kwamba He, God hears and answer prayers...Na kuna mengine yana kuja its not the end of story...I am just watching!
 
Magufuli alikuwa right..
Sikumkubali Magufuli but Kwa Bandari ya Bagamoyo alikuwa 100 percent right
Kwa kuwa hatujui vipengele vya huo mkataba, na kwa hiyosiyo rahisi kumuamini magufuli kwa aslimia mia kwa aliyoyasema juu ya bandari ya bagamoyo .
 
Duh yeye alikua karibu sana na raisi kile kipindi...vp hajamwambia ukweli leo ndo anasema haya
 

china ina wahonga watu huu mradi ni mbaya sana Magu alikuwa sawa. Hakuna mtu alipinga kwa hoja
 
Kwanza omba mkataba wa Gas na bomba3 la Kusafirisha gas
Halafu mkataba wa hela za sandarusi
Mkuu,

Wewe pamoja na mimi tuko kwenye ukurasa mmoja ili kuondoa nyimbo za mchiriku kwamba nani kafanya nini na nani hajafanya kitu gani?

Gesi iliyogunduliwa Mtwara na Lindi ukifika huko na ukisikiliza jinsi viongozi huwa wanatuelezea unagundua bayana kwamba ni UONGO wa kiwango cha hadithi za Alfu Lela Ulela/Abunuwasi nk.

The facts prescribed in all grand contracts must be tabled public for the taxpayers comparatively interpret with what in reality happened while refraining to undermine anybody's endeavor. The nation shall not be healed if personal hatred and veangeance are given opportunity to disrupt it. Stay Safe and Keep Peace for the common goals achievement.
 
Swali la msingi, Tujenge Bandari Kubwa(Africa) Karibu na Bandari ya Dar?
Hakuna haja, tujenge bandari ya nchi kavu CHALINZE ili kuongeza ufanisi wa huduma na kupunguza gharama na usumbufu wa magari makubwa kuingia Dar Es Salaam hivyo kuutanua mji wa Chalinze na vijiji vinavyozunguka kiuchumi hatimaye maendeleo kufikiwa
 
KUMBE, kwa hiyo hapo wigo unasemaje kusawazisha hii hali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…