Ujenzi bandari ya Bagamoyo kuanza Desemba 2025


Huyu kashawehuka mkuu
Huwezi kushabikia damu za watu ubaki timamu
 
Bila shaka inajengwa kwa mashariti yale yale aliyoyakataa hayati. Or may be even worse.
 
Tunampongeza Samia na Serikali yake
Kawaokoteni mafala, $10b unadhani ni hela ya kitoto? Ni hivi, tarehe 9 december tunarudi barabarani, mtaonyeshan mahali kura 31m zimetokea. Huo ujenzi utafanyika Samia na genge lake wakiwa jela.
 
Kawaokoteni mafala, $10b unadhani ni hela ya kitoto? Ni hivi, tarehe 9 december tunarudi barabarani, mtaonyeshan mahali kura 31m zimetokea. Huo ujenzi utafanyika Samia na genge lake wakiwa jela.
Toa komwe walibomoe, wajinga wenzio wakulilie
 
Magufuli alisema hii bandari ni nonsense na wakampigia makofi akiwemo makamu wake

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…