GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 456
- 1,352
Mkuu nafikiri ilikuwa vyema kufanya kautafiti kdg ndo uje na hoja, chimbuko la mradi, nani aliyedesign lengo lilikuwa ni lipi, je baada ya phase ya kwanza ambayo ilikuwa pilot study ni mapungufu gani waliyagundua na the wayforward ulizokuja nazo katika phases zilizofuata.
Kwa kifupi tu mradi huu wa mwendokasi ulianza 2003, 2008 Shirika la JICA lilifanya Study nakuja na proposal either Metro or BRT, Study yenyewe ilihusisha Masterplan ya Usafiri na Usafirishaji kwa Jiji la Dar es Salaam, na inakuwa revised kila baada ya muda flani kutokana na mahitaji, mara ya mwisho wameifanyia mapitio na kuifanyia maboresho mwaka 2016-2018, kwa sisi wapenda maendeleo wa nchi tunaifuatilia kwa maana ya kuitrack na kuangalia utekelezaji wake kwa ground muda wote kwa kifupi project yenyewe inaitwa (DUTMP)Dar es Salaam Urban Transport Master Plan.