Ujenzi barabara ya Mwendokasi Dar na mambo ya ajabu

Mkuu nafikiri ilikuwa vyema kufanya kautafiti kdg ndo uje na hoja, chimbuko la mradi, nani aliyedesign lengo lilikuwa ni lipi, je baada ya phase ya kwanza ambayo ilikuwa pilot study ni mapungufu gani waliyagundua na the wayforward ulizokuja nazo katika phases zilizofuata.
Kwa kifupi tu mradi huu wa mwendokasi ulianza 2003, 2008 Shirika la JICA lilifanya Study nakuja na proposal either Metro or BRT, Study yenyewe ilihusisha Masterplan ya Usafiri na Usafirishaji kwa Jiji la Dar es Salaam, na inakuwa revised kila baada ya muda flani kutokana na mahitaji, mara ya mwisho wameifanyia mapitio na kuifanyia maboresho mwaka 2016-2018, kwa sisi wapenda maendeleo wa nchi tunaifuatilia kwa maana ya kuitrack na kuangalia utekelezaji wake kwa ground muda wote kwa kifupi project yenyewe inaitwa (DUTMP)Dar es Salaam Urban Transport Master Plan.
 

Metro was the best
 
Hebu yaache kwanza...mapema sanaa jamani khaaa ....
 
Huna cha kujibu....
Sawa mtaalam. Ngoja tuwaachie nyie wajuvi wa mambo.
Ingawa hoja ni kuwa mwendokasi (mabasi) hata wayaweke elfu 10 hayatasaidia. Metro ndio zingeleta suluhisho la msongamano.
 
ile barabara kuna vituo 6 kutokea mnazi 1 hadi Kisutu, wakati pale wangeweka Mnazi, Kisutu basi
 
Sawa mtaalam. Ngoja tuwaachie nyie wajuvi wa mambo.
Ingawa hoja ni kuwa mwendokasi (mabasi) hata wayaweke elfu 10 hayatasaidia. Metro ndio zingeleta suluhisho la msongamano.
Hili hili swala halihitaji ujuzi ni hesabu za kutoa za la kwanza labda wewe unatetaka kucomplicate.
 
Metro was the best
Kbs kaka kwa wkt huo I mean 2003 tulihasitate kwa kuhofia gharama ya ujenzi na uendeshaji lakini the revised one imehusisha treni za mjini pamoja na ring road tatu inner, outer pamoja na nyingine ya nje kabisa inayopita kwa kiasi kikubwa mkoa wa pwani.
 
Nliwah kubanwa kwenye mwendokasi hadi hadi leo pumbu zimeingiaga ndani, daaah
 
ile barabara kuna vituo 6 kutokea mnazi 1 hadi Kisutu, wakati pale wangeweka Mnazi, Kisutu basi
Mnazi ya Kisutu vituo sita? Nani wanafanya hizi planning? Japo najua hiyo ni sehemu ya kupiga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…