Shilinde Tz
Member
- May 23, 2024
- 19
- 38
Takutafuta mkuuu...
Ngoja nijipange
Ngoja nijipange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
15m hapo kiwanja unacho?so in general ukiwa na 15Milioni inaweza fikia mahali pa kuhamia.ila itakuwa haijaisha vizuri.inategemeana na starndard ya finishining yako
Atajisaidia wapi?Msingi tofali 350-400
Mjengo mzima hapo tofali 1200
Mabati 60-75
Tafuta ramani kwanza
Mabati mengi sana hayo.Msingi tofali 350-400
Mjengo mzima hapo tofali 1200
Mabati 60-75
Tafuta ramani kwanza
Haizidi 10m inaisha kabisa.Hello,
Habari zenu wapendwa.
Ninaomba uzoefu wa gharama ya ujenzi wa nyumba yenye sebule, chumba na choo cha public…ni standard tu ya kawaida.
Kama ni nyumba ya miti pengine inawezekana.Swali je chumba kimoja ndani nasebule na choo halafu nje iwe chumba sebule na choo how much manaa mtu kaniambia finish ya hivyo ni 1 ml sasa wè 4.5m unajenga nini??
Hapo Siyo kweli.Ukubwa wa vyumbq ndiyo utakaosema idadi ya tofali.hizo 1600 ni nyumba kubwa kabisa siyo yq chumba sebure choo njeMsingi tofali 350-400
Mjengo mzima hapo tofali 1200
Mabati 60-75
Tafuta ramani kwanza