Ujenzi: Chumba, sebule na choo cha public

Ujenzi: Chumba, sebule na choo cha public

Swali je chumba kimoja ndani nasebule na choo halafu nje iwe chumba sebule na choo how much manaa mtu kaniambia finish ya hivyo ni 1 ml sasa wè 4.5m unajenga nini??
Kama ni nyumba ya miti pengine inawezekana.
Ila kumbuka, rahisi ni gharama sana.
 
mimi nimeanza kujenga chumba self ft 14x15 pamoja na sitting room ft 15x15 nimetumia tofali 700 ambazo msingi nimepiga coz 5 na juu zimeishia kwenye coz 8 upande wa chumba na coz 6 upandea wa sitting room, hawamu inayofata nataka nipandishe tofali nipige lintel, kwa hapo ilipofikia naweza choma kiasi gani hadi usawa wa kuhamia?, na karo bado sijachimba.
 
Ramani ya project yangu nilidesign mwenyewe. Na eneo ambalo nipo kuna biashara nzuri ya kupangisha wanafunzi wa vyuo
493977F5-7CB4-4D37-82A2-5D50A47A3256.jpeg

Maono yangu nikuhamia kwanza na kuendeleza vyumba vya kupangisha then nikimaliza niache wapangaji nijenge kwenye kiwanja kingine

Stage 2
19CF2963-21F9-4695-BE3E-C20B614EC3C6.jpeg

Final Stage
36035FA1-578F-4CB3-BD4B-1F5FB2C754F7.png
 
samahani mleta mada nipo nje ya mada kidogo,mimi ni fundi wa kufunga cctv camera,electric fence,gate motor pamoja na video door bell,kwa mwenye kuhitaji huduma naomba tuwasiliane kwa namba 0622667749 au 0674376787 nipo Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom