Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaonekana ni mtu mkorofi sana.Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking.
Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha. Hii sheria inatokea wapi?
Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia ningependa kujua kama jirani ninaweza kuuliza mwonekano wa jengo.
Ili nifahamu kama baraza zinatazamia upande wangu.
Kisheria anatakiwa aache mita 1.5 kutoka kwenye ukuta unaowatenganisha. Ili hata akiendelea kujenga kwenda juu athari za vitu kudondokea upande wako zisiwe kubwa sana.Mleta uzi ameuliza swali la msingi sana na anastahili majibu sahihi. Kisheria kuna umbali unaotakiwa uachwe na kila mwenye kiwanja kutoka kwenye uzio hadi ukuta wa nyumba. Na sababu zake zinajulikana; kwani kuna huduma zinapitaga kwenye hayo maeneo na vile vile usalama kati ya jirani na jirani. Mwizi asije akotoka ghorofa moja na kurukia ghorofa nyingine. kwa sasa naona ujenzi unakiuka hiyo sheria na sababu kubwa ni mjengaji kutaka kujenga nyumba kubwa kuliko kiwanja chenyewe na wakaguzi kuzembea au kupokea chochote!
Kisheria anatakiwa aache mita 1.5 kutoka kwenye ukuta unaowatenganisha. Ili hata akiendelea kujenga kwenda juu athari za vitu kudondokea upande wako zisiwe kubwa sana.