Ungeuliza maswali vizuri basi nibgekueleza kila kitu, hizi nyumba zipo karibu kila wilaya.
Na nakusahihisha kuwa kwenye nyumba ya huku , hakuna sehemu palipolzwa tofauli.
Msingi ulikuwa wa mawe(trip 18) tripu moja ni elfu themanini(80,000) bei halisi ni 70000.
Baada ya hapo ukapigwa mkeka, alafu zikanyanyuliwa kozi 11 kabla ya lintel. Baada ya hapo zikapanda kozi 3. Jumla kozi 14
Tofali zilikuwa jumla 3200, bei ya tofali 1 ni 1000 ila hadi site kupakia na kushusha ni 1200, tofali ni hizi za ratio ya 40 kwa mfuko mmoja. Hazikufyatuliwa, bali zilinunuliwa