Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwa taarifa yako ujuaji wake ndio unaharibu kazi.magufuli ni zaidi ya mwanasiasa mkuu,
amekaa wizara ya ujenzi miaka kadhaa,anajua upuuzi mwingi usioujua.
TBA alipokuwa wasimamizi na sio wajenzi kazi ilienda vizuri, walipokabidhiwa kujwnga wamefanya madudu mwngi sana.
Niko kwenye hiyo field najua uchafu mwingi kuliko unavyofikiri.
Kimsingi taratibu za ujenzi zikifuatwa na ubora ukazingatiwa, hiyo nyumba haiwezi kuwa chini ya 120ml.
Angalia msururu wa wasimamizi hapo chini ndio waliohusika na ndivyo inavyotakiwa na hawa hulipwa pesa ndefu sana