Ujenzi: Je, hii nyumba ya TAKUKURU Dodoma inafikia thamani tajwa ya Tsh. 143 milioni?

Sijakubaliana wala kupinga, ili nikubaliane au nipinge ningepata ramani ya nyumba hiyo na mapendekezo ya mshauri kuwa matirio gani yatatumika na maelekezo mengine.
Ujenzi hauangaliwi kwa macho ili kujua gharama
Fact
 
Asante kwa uelewa
 
Nilichogundua kwenye uzi huu wako wachangiaji wengi ambao hawajawahi kujenga wala kuhusika na ujenzi kwa karibu. Wanabwabwaja tu!
 
Nilichogundua kwenye uzi huu wako wachangiaji wengi ambao hawajawahi kujenga wala kuhusika na ujenzi kwa karibu. Wanabwabwaja tu!
Wskati unaendelea na uchunguzi ukumbuke pia ujenzi wa nyumba za kuishi hizi za kwetu ujenzi wake ni tofauti sana na seeikali
 
Hakusema kama ni effective 40 bali ipo around that 40 to 60m, subject to ifanyike mahesabu vizuri . Kama unaweza sawa kama huwezi watatumwa wanaoweza
 
Kawaida ya square meter estimate kwa nyumba isio ya Ghorofa ni 350k - 450k per sqm.
 
Hebu lete huo mchanganuo wa tilez za millioni 7 nyumba Kama hii.

Aisee Kuna watu mnachekesha Sana[emoji1]
Maongezi hayawagi hivyo mkuu.

Tiririka uwezavyo tuthamanishe, hsujawekewa gavana!

Kuishia kusema 'unachekesha' haileti sensi mkubwa!
 

It depends based on :-
1) In case the floor plan is 286 - 302 SQM using building material with reasonable costs i.e not
using high end finishing materials.
2) Construction was based on Force Account or otherwise.
 
Ila design mbovu nyumba inaning'inia utadhani kaptula alijisemea Jafo kwenye daraja fulani. Sasa wazee mbona nyumba nyingi ndogo zabkuishi zina around mil. 70 iweje hiyo iwe hapo hapo
 
Maongezi hayawagi hivyo mkuu.

Tiririka uwezavyo tuthamanishe, hsujawekewa gavana!

Kuishia kusema 'unachekesha' haileti sensi mkubwa!
Samahan Kama umenielewa vibaya mkuu,

Mimi mchanganuo wangu tayar nishautoa mkuu.

Nlitaka uyo alosema tiles za mil 7 atupe yeye hiyo hesabu kaitoa wapi.
 
Acha uongo hiyo nyumba hiyo tofari 3200 Ni msingi TU Tena ukome kudanganya
 
Na bado mwisho wa siku majengo yanakaa miaka miwili tu cracks kibao.
 
Tiles za mil 17 ziwekwe kwenye gheto la kawaida?? Hebu chukulia tu mfano wa makadiriaji ya juu sana yaani tuseme box moja ni 80000, hapo unapata maboksi 212. Maboksi 212 unaweka kwenye gheto la kawaida??? Huu utani sasa
Master mm nyumba nyingi tunazojenga sisi watanzania naita ghetto tu. Mm mwenyewe kwangu naita ghetto japo watu wakipita wanashangaa ila naona ni ghetto flani changamfu.
 
Ila design mbovu nyumba inaning'inia utadhani kaptula alijisemea Jafo kwenye daraja fulani. Sasa wazee mbona nyumba nyingi ndogo zabkuishi zina around mil. 70 iweje hiyo iwe hapo hapo
Kaka nadhani hii ndo sababu mpaka imepelekea kuonekana cheap, kwa gharama Ni sawa kabisa Ila muonekano wake cheap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…