Bongo upo huo ujenzi sema gharama zake ni kubwa bora ujenge ya kawaida.Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania?
Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi gani hasa wakati huu ambapo gharama za ujenzi zimepanda?
Ujafikiria gharama za kulifytua tofali moja la interlocking.Hutohitaji simenti (mortar) kuunganisha Matofali hivyo unapunguza gharama kwa kiasi kikubwa.
View attachment 1685205
Gharama za unenzi ni kubwa mkuu zinawashinda watu.Huu ujenzi ni maarufu sana kwa nchi ya India, ila hata Kenya wanauendeleza sana ukilinganisha na huku kwetu bado mapokeo si makubwa sana.
View attachment 1685199
Hutohitaji simenti (mortar) kuunganisha Matofali hivyo unapunguza gharama kwa kiasi kikubwa.
View attachment 1685205
Sio India tu, Huko Brazil ujenzi wakutumiq tofali hizi ndio umeshika kasi sanaa ukilinganisha na sehemu zingineHuu ujenzi ni maarufu sana kwa nchi ya India, ila hata Kenya wanauendeleza sana ukilinganisha na huku kwetu bado mapokeo si makubwa sana.
View attachment 1685199
Sio plaster tu, la hasha bali hata mortar inayotumika kubond tofali na tofali, white cement/gypsum powder na rangi.Zile gharama za kupiga plasta zinawezwa kuingizwa kwenye tofari hizi
Mkuu sio kila udongo unafaa kutengenezea haya matofali, unatakiwa kufanya soil testing kujua kama unafaa au haufai. Udongo unaofaa unatakiwa uwe na composition ya 50% to 70% of sand. Usiseme tu mzuri sababu umeona una rangi ya tofali za kuchoma. Fanya soil testing kwanza kujiridhisha ili baadae usijepata kadhia ya tofali kumegukaNimesubiri majibu kitambo sana kuhusu gharama za tofali na ujenzi. Ninataka kujenga eneo ambalo lina udongo mzuri wa kufyatulia. Kama kuna wafyatuaji je bei ni kiasi gani kwa tofali, kama tatizo ni mashine naweza kugharamia kukodi au kununua
Asante mkuu, maeneo nilipo tofali za kuchoma zinatumika sana, je hizi interlocking zina mahitaji tofauti ya udongo? Soil testing nitaizingatia. Vipi gharama kwa tofali 1Mkuu sio kila udongo unafaa kutengenezea haya matofali, unatakiwa kufanya soil testing kujua kama unafaa au haufai. Udongo unaofaa unatakiwa uwe na composition ya 50% to 70% of sand. Usiseme tu mzuri sababu umeona una rangi ya tofali za kuchoma...
Ndio, sio kila udongo unafaa, kama nilikueleza hapo juu udongo unaotakiwa ni wenye mchanganyiko wa sand ya 50 to 70 %. Ndio maana nikasema kabla ya kutumia huo udongo kufyetua tofali angalia kama composition ya sand katika huo udongo unarange katika hizo asilimia 50 mpaka 70.Asante mkuu, maeneo nilipo tofali za kuchoma zinatumika sana, je hizi interlocking zina mahitaji tofauti ya udongo? Soil testing nitaizingatia. Vipi gharama kwa tofali 1
Wataalamu wake wanasema udongo mfinyanzi ndo unaofaaa.Mkuu sio kila udongo unafaa kutengenezea haya matofali, unatakiwa kufanya soil testing kujua kama unafaa au haufai. Udongo unaofaa unatakiwa uwe na composition ya 50% to 70% of sand. Usiseme tu mzuri sababu umeona una rangi ya tofali za kuchoma..