yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Aaaaahaha....hiyo style Moshi kijijini zaman ndo ilitumika. Kama kuna nyumba nyingine karibu unaweza isababishia mmomomnyokoHahaha[emoji23] umenikumbusha mbali. Njia/barabara ya kuingilia kwako itakuwa chini yaani kupanda juu au itakuwa juu kushuka chini?
Habari wakuu,
Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.
Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?
Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.
Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?
Karibuni kwa ushauri wadau.
kupanda juuHahaha[emoji23] umenikumbusha mbali. Njia/barabara ya kuingilia kwako itakuwa chini yaani kupanda juu au itakuwa juu kushuka chini?
Ya hivi gharama yake ni kubwa mkuu. maana kuna zege la hapo katikati, pia tofali zinaenda nyingi zaidi. Maana ni kama unajenga nyumba mbiliMkuu kwenye slope huwa tunawashauri client wajenge under ground maana inakuwa imara na nafuu....Upande wa Slope kunakuwa na ghorofa.
View attachment 1876682
Mkuu kuna baadhi ya nyumba nishawahi ona, hua si lazima nyumba iwe kwenye level moja,Habari wakuu,
Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.
Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?
Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.
Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?
Karibuni kwa ushauri wadau.
Kweli mkuu, na mimi nshaona hiyo. Japo inaharibu muonekano wa nyumba pia ukiwa na mtoto mdogo inakuwa changamoto kidogo kwenye ngazi hizo.Mkuu kuna baadhi ya nyumba nishawahi ona, hua si lazima nyumba iwe kwenye level moja,
Hivo basi wanafanya step foundation na baadhi ya maeno kwenye nyumba yako inakua hazipo level sawa, kwamfano kutoka kwenda kwenye sebule kuingia vyumbani unapanda ngazi kidogo.
Nami ningekushauri hivo hivo una cut pakubwa unajaza padogo, kuliko kusimamisha msingi uwe mkubwa kupata level.kweli mkuu, na mimi nshaona hiyo. Japo inaharibu muonekano wa nyumba pia ukiwa na mtoto mdogo inakuwa changamoto kidogo kwenye ngazi hizo.
Hapa naona nitapachimba pawe level tu
ya hivi gharama yake ni kubwa mkuu. maana kuna zege la hapo katikati, pia tofali zinaenda nyingi zaidi. Maana ni kama unajenga nyumba mbili
Yani hapo wewe ukichimba lazima huo udongo wa nyumba ya jirani yako utakuwa unakatika mvua ikinyesha, cha msingi we ukichimba ni lazima ujengee ukuta wa tofari au wa mawe ili kumkinga jirani yako asipate madhara,tena mbaya zaidi wewe umemkuta ameshajenga,Habari wakuu,
Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.
Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?
Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.
Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?
Karibuni kwa ushauri wadau.
Abraar Nyumba kwa Wote tuna ufumbuzi wa ubora wa hali ya juu na wa gharama nafuu kwa namna ya ujenzi uliouelezea, tunaweza kukujengea sehemu kama hizo au za mabondeni kabisa bila hata ya kutumia gharama za kifusi na ukapata nyumba imara na madhubuti.Habari wakuu,