Ujenzi kwenye eneo lenye mteremko kidogo

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Habari wakuu,

Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.

Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?

Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.

Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?

Karibuni kwa ushauri wadau.
 
Mkuu kwenye slope huwa tunawashauri client wajenge under ground maana inakuwa imara na nafuu....Upande wa Slope kunakuwa na ghorofa.

UNDER.jpg
 
Habari wakuu,
Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.

Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?
Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.

Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?

Karibuni kwa ushauri wadau.
Mkuu kuna baadhi ya nyumba nishawahi ona, hua si lazima nyumba iwe kwenye level moja,
Hivo basi wanafanya step foundation na baadhi ya maeno kwenye nyumba yako inakua hazipo level sawa, kwamfano kutoka kwenda kwenye sebule kuingia vyumbani unapanda ngazi kidogo.
 
Kweli mkuu, na mimi nshaona hiyo. Japo inaharibu muonekano wa nyumba pia ukiwa na mtoto mdogo inakuwa changamoto kidogo kwenye ngazi hizo.
Hapa naona nitapachimba pawe level tu
 
kweli mkuu, na mimi nshaona hiyo. Japo inaharibu muonekano wa nyumba pia ukiwa na mtoto mdogo inakuwa changamoto kidogo kwenye ngazi hizo.
Hapa naona nitapachimba pawe level tu
Nami ningekushauri hivo hivo una cut pakubwa unajaza padogo, kuliko kusimamisha msingi uwe mkubwa kupata level.
 
ya hivi gharama yake ni kubwa mkuu. maana kuna zege la hapo katikati, pia tofali zinaenda nyingi zaidi. Maana ni kama unajenga nyumba mbili

Hata kama haujengi under ground ,kujenga kama unavyotaka wewe ili iwe imara inaweza kuzidi gharama za under ground.
 
Inategemea na aina ya arthi ya hilo eneo. Wazo lako sio baya kumbuka garama itakuwa ni ileile kama huhitaji stap, na upande utakao baki kutakuwa na kilima sijui utapadhibiti vipi wakati wa mvua ili mmomonyoko usije badili mazingira. Tafuta mtaalam apaone kabla ya kufanya uamuzi
 
Nina changamoto sawa ila eneo langu ni mfinyanzi niliwaza idea ya kuchimba upande mmoja kuweka level ila upande unapochimba kwa upande wa bondeni unaweka ukuta wa tofali za kulaza si zaidi ya course sita kutoshea eneo la ujenzi

image-2021-08-02-12:05:27-483.jpg

Kama ionekanavyo pichani na Karibisha mawazo zaidi kwa wazo eti.
 
Habari wakuu,

Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.

Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?

Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.

Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?

Karibuni kwa ushauri wadau.
Yani hapo wewe ukichimba lazima huo udongo wa nyumba ya jirani yako utakuwa unakatika mvua ikinyesha, cha msingi we ukichimba ni lazima ujengee ukuta wa tofari au wa mawe ili kumkinga jirani yako asipate madhara,tena mbaya zaidi wewe umemkuta ameshajenga,
 
Habari wakuu,

Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.

Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?

Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.

Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?

Karibuni kwa ushauri wadau.
Abraar Nyumba kwa Wote tuna ufumbuzi wa ubora wa hali ya juu na wa gharama nafuu kwa namna ya ujenzi uliouelezea, tunaweza kukujengea sehemu kama hizo au za mabondeni kabisa bila hata ya kutumia gharama za kifusi na ukapata nyumba imara na madhubuti.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Abdul Ghafur 0625249605.

1628129052538.jpeg
 
Back
Top Bottom