yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Habari wakuu,
Ndugu zangu kuna kiwanja kina slope ndogo ya kawaida. Lakini kujenga pale ni lazima msingi uinuke kwa mbele ili kutafuta level. Kiukweli sivutiwi na msingi wa dizaini hiyo.
Sasa, je nikiamua hiyo plot kuiweka level kwa kuilima na kuuvuta udongo wa nyuma kuuleta mbele ili nipajaze inaweza kuwa na madhara yoyote kiujenzi?
Ukizingatia nitapaacha kwa kipindi kama mwaka hivi baada ya kufanya hivyo ili udongo ushikane vizuri kutafuta uimara.
Na je nikifanya hivyo inaweza kuleta athari kwa nyumba ambayo ipo jirani umbali wa mita mbili?
Karibuni kwa ushauri wadau.