UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs
nile -14.PNG

Service UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs

$1,000.00 to $10,000.00
Unatumia material gani kuezeka?
Kwa contemporary tunatumia bati za kawaida tu ila tunaziraza katika angle chini nyuzi 15. Na pia tunakusanya maji kwa mfumo wa concrete gutter na kuyashusha chini kwa downdrop mkuu.

Karibu sana mkuu.
 
cost evaluation yake ikoje?
Msingi mpaka uezekaji 20-25m
Msingi mpaka Finishing itafikia 80m( kulingana na uchaguzi wa materials)

Waweza tutafuta kwa makadilio halisi yatakayoendana na eneo lako.

Karibu sana mkuu.
 
Standards zote ni kama zipi chief?
Gutter za ku collect maji ziwe vizuri na treated with water proof materials.

Nyuzi mlalo ya bati iwe vizuri

Muingiliano wa bati ukae sawa pamoja na vitu vingine vya kiufundi


Karibu sana mkuu
 
Back
Top Bottom