Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 402
- 483
- Thread starter
- #281
Karibuni sana, tuambie unataka nyumba ya aina gani na tutatengeneza kulingana na mahitaji yako.
Call/whatsapp 0715477041
Call/whatsapp 0715477041
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia laki mbili mkuu, kikubwa bei hutegemea aina (complexity) ya nyumba unayoitaka na huduma za ziada utakazohitaji. Karibu sanaRamani ya vyumba vitatu (master moja) jiko dinning and sebule choo public ni kiasi gani?
Two masterbedrooom, kitchen sittingroom public toilet dinning store.Karibuni sana, Tuambie unataka nyumba ya aina gani na tutadesign kulingana na mahitaji yako, karibu sana
Njoo inbox boss.Two masterbedrooom, kitchen sittingroom public toilet dinning store.
Hii kitu nimeipenda. Nitarudi kwa NILE ili wanichoree ramani but with adjustment.UJENZI: let us transform your design ideas into reality: NILE HOUSE DESIGNS (nilehousedesigns on instagram).
Karibu tukutengenezee nyumba ya ndoto yako, tuambie unataka nini na sisi tutaboresha wazo lako.
Kwa bei poa kabisa utapata design yako
Baadhi ya kazi zetu
Commercial buildings
Jengo la biashara 400sqm
affordable price!!
tupigie /WhatsApp ## 0715477041
Drawings can be adjusted to meet client's ideas
(michoro yaweza rekebishwa kukidhi matakwa ya mteja)
## picha zote zimetengenezwa na nile house design ( no copied images)
View attachment 1706735
Karibu sana mkuuHii kitu nimeipenda. Nitarudi kwa NILE ili wanichoree ramani but with adjustment.
Wa aina gn mkuu??Kuna muezeko hapo umemfrustrate jirani yangu anaongea peke yake njiani, muda mwingine anasema sijui akaitupe wapi nyumba maana likitanda wingu tu amechanganyikiwa
Huo wa ficha paaWa aina gn mkuu??
Huo wa ficha paa, unahitaji fundi awe makini sana, hususani kwenye usukaji wa gutter za maji, ila kwa ajili ya wadau wengi kupunguza gharama, hawaweki hizo gutter, kinachofanyika ni kuchomeka bati kwenye ukuta moja kwa moja kitu ambapo ni hatari zaidi.