Naunga mkono hoja https://www.jamiiforums.com/threads...umi-tutaweza-kuwalinda-mashujaa-hawa.2460523/Heshima sana wanajamvi,
Kati ya mambo yaliyonisikitisha ni mwaka huu ni mradi wa ujenzi kuhamishiwa Mombasa.
Nilimsikia Rais Ruto na baadae Rais Samia.
Kauli ya Dangote ya kupeleka mradi Kenya ilinipasua moyo wangu vipande vipande.Nilimchukia,nilimwona ni tajiri mwenye nyodo za kipuuzi.
Hakika ziara ya Kaguta nchini Tanzania ilinirejeshea furaha isiyo kifani.
Ngongo kwasasa Tanga.
SGR nimeshaitumia nikitokea Dar hadi Dodoma.Usiwe mpumbavu sana, SGR ni mradi wa $10b , hadi leo haujakamilika na haifahamiki utakamilika lini, kisha usikie kuna mradi mwingine wa $10b unawekewa sign?!
Kwa taarifa yako, huyo Museveni aliwahi kupewa eneo kwenye bandari ya Tanga na utawala wa Mkapa, lengo lilikuwa ni kujenga bandari ya kupokelea na kusafirisha bidhaa za Uganda, hadi leo hawajawahi hata kuleta matofali mabovu 50
Mmejipangaje kupata fedha za kukamilisha mradi katika mazingira ambayo beberu amekata mrija?SGR nimeshaitumia nikitokea Dar hadi Dodoma.
Nadhani njia ya mabus Dar,Moro & Dodoma wanalijua hilo.
Naamini mradi wa SGR utakamilika tu ingawa kwa kusua sua.
Naamini hilo suala litapatiwa ufumbuzi soon.Mmejipangaje kupata fedha za kukamilisha mradi katika mazingira ambayo beberu amekata mrija?
Katiba mpya ipi?Naamini hilo suala litapatiwa ufumbuzi soon.
Mosi naamini mazingira bora ya siasa yatatatuliwa kupitia katiba mpya.
Pili naamini uchaguzi wa 2030 utakuwa huru na haki.
Tatu naamini Tanzania itapata katiba mpya.
Unafahamu huwa yapo mengi mazuri kwenye ilani yao lakini hadi miaka mi5 inaisha huwa hayatekelezwi?Yapo ktk ilani ya CCM.
Kwenye hii Dunia unaamini serikali kuwekeza yenyewe huu ni ujinga kama sio upambuvu wa kurudia makosa Yale YaleHeshima sana wanajamvi,
Kati ya mambo yaliyonisikitisha ni mwaka huu ni mradi wa ujenzi kuhamishiwa Mombasa.
Nilimsikia Rais Ruto na baadae Rais Samia.
Kauli ya Dangote ya kupeleka mradi Kenya ilinipasua moyo wangu vipande vipande.Nilimchukia,nilimwona ni tajiri mwenye nyodo za kipuuzi.
Hakika ziara ya Kaguta nchini Tanzania ilinirejeshea furaha isiyo kifani.
Ngongo kwasasa Tanga.
Serikali KUSIMAMIA miradi ya kinoashara ni akili za kizamaniNaomba tu kuwe na kasi ya utekelezaji, ... ili hata huyo Dangote aishie kununua hisa Tanga!
... kuna SCALE! ... mradi huu wa Tanga hawataachiwa mchwa wa kibongo maana ubia wake si wakitoto!Serikali KUSIMAMIA miradi ya kinoashara ni akili za kizamani
Ile refinery ya Dar iliishia wapi