Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

Ujenzi rahisi kwa kutumia interlock blocks, jenga popote, jenga sasa

Madarasa tunajenga pia

IMG-20230119-WA0000.jpg
 
Mkuu, una uhakika kabisa ujenzi wa kutumia tofali hizo una save hadi 40%?, maana mimi nilikuwa mmoja wa wasimamizi wa nyumba za NHC miaka ya 2015-2017, ambapo tulisimamia miradi yote ya NHC Tanzania, ikiwemo na ule wa Mikwambe+Mwongozo
Tusaidie na wewe mkuu kuhusu hizi tofali na ikibidi mwaga na elimu yako yote hapa kuhusu ujenzi wa kutumia tofali hizi. Sharing is caring
 
Tusaidie na wewe mkuu kuhusu hizi tofali na ikibidi mwaga na elimu yako yote hapa kuhusu ujenzi wa kutumia tofali hizi. Sharing is caring
Sio rahisi kuandika elimu yote hapa
 
Back
Top Bottom