Sasa unataka viraka tukazibe wapi! Watoto wetu utawalisha wewe.Ukisikia barabara inajengwa ndio hivi sio zile zenu za moram na kushindiliwa tu, hii barabara hata ikae miaka 200 bado utaikuta hivyo hivyo sio hizi za hapa Tanzania miezi tu hakuna kitu.
USSR
Mjadala umefungwaUjinga mzigo sana,
Barabara zinazojengwa hivo hata bongo zipo,
Ila unajenga kwenye ardh gani ? Na gharama ya kujenga hio barabara utaambiwa 7B kwa km, mnazo hizo hela .?
Kula kwa urefu wa kamba ni mpango,ameeelewa sijui?Sasa unataka viraka tukazibe wapi! Watoto wetu utawalisha wewe.
Kama kuna tunachofanya kwa akili zetu bila kuiga ni yale matendo yasiyo ya hiyari ya mwili....Siku nyingine usifananishe Ulaya na sisi. Tupo vyema Kwa viwango vyetu.