Ujenzi wa barabara ya Mbulu - Haydom ni zaidi ya aibu

Ujenzi wa barabara ya Mbulu - Haydom ni zaidi ya aibu

saigilomagema

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
4,683
Reaction score
7,222
Barabara tajwa hapo juu ujenzi wake ulianza mwaka jana. Ambacho kimefanyika mpaka sasa ni kwamba mkandarasani amesafisha kama KM 5 na ameiacha ameshaondoa vyombo vyake nasikia yuko Manyoni kujenga barabara nyingine.
Eneo lililosafishwa limeshaota majani, jamani Mbulu kunani? Hii barabara ni ile mbunge Fratei aliipigia sarakasi bungeni. Nyepesi tunazopata ni kwamba hakuna hela na mkandarasi ametimkia wilayani Manyoni.
 
Back
Top Bottom