A
Anonymous
Guest
Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu bila kuweka njia mbadala.
Hali ambayo inaleta kero sana kwa wakazi wa maeneo hasa ya mbezi beach Tangibovu.
Imekuwa mtihani sana watu wanashindwa kutoka kufanya shughuli za kuzalisha kwa sababu barabara imefungwa na hakuna njia mbadala.