KERO Ujenzi wa Barabara ya Mwendo Kasi Tegeta Hadi Mwenge Sasa Imekuwa Kero kwa Wananchi Walio jirani na Mradi Huo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu bila kuweka njia mbadala.

Hali ambayo inaleta kero sana kwa wakazi wa maeneo hasa ya mbezi beach Tangibovu.

Imekuwa mtihani sana watu wanashindwa kutoka kufanya shughuli za kuzalisha kwa sababu barabara imefungwa na hakuna njia mbadala.
 
Vipi mkuu changamoto ya mkandarasi iliisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…