Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kibaha -Morogoro kuanza

Ujenzi wa Barabara ya Njia 4 Kibaha -Morogoro kuanza

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Waziri wa Ujenzi Profesa Mbarawa ameyasema hayo akizungumza na wadau wa sekta ya usafirishaji jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la leo ni Kwambaza barbara hiyo itajengwa kwa utaratibu wa BOT yaani JENGA, ENDESHA, RUDISHA.

Ujenzi huo utaanza APRILI 2023.

Barabara hiyo ya Kilomita 215 itakuwa ya kulipia.

MY TAKE

lami-1080x570.jpeg

Huu ni mwarobaini wa kuchelewesha uchumi. Ni hatua ya kupongezwa.
 
Swali ni je kuna volume kubwa ya magari kiasi hicho? Au Ndio itakuwa kama barabara za north korea !? Mibarabara mipaaana magari hakuna!
 
Swali ni je kuna volume kubwa ya magari kiasi hicho? Au Ndio itakuwa kama barabara za north korea !? Mibarabara mipaaana magari hakuna!
Hiyo barabara inapitisha magari yanayoenda kanda ya ziwa, nyanda za juu kusini na pia kanda ya kaskazini kwa kupitia Chalinze. Kibaha-Mlandizi ni 30km tu highway Ila unaweza tumia 2hrs tu kirahisi.
 
Back
Top Bottom