Mbona nilisikia wengine walishlipwa jirani na wengine waliambiwa wafungue account benki?? Subiri ummi mwalim akija gombea tumuulize
Mbona nilisikia wengine walishlipwa jirani na wengine waliambiwa wafungue account benki?? Subiri ummi mwalim akija gombea tumuulize
Jirani watu huku wa expectations za kulipwa. Nimeongea na mtu wa ujenzi wa barabara serikalini akasema kana kure red mark i.e X na red numbers, hulipwi. Wote njia niliyoitaja hakuna mwenye kijani wote ni red!Mbona nilisikia wengine walishlipwa jirani na wengine waliambiwa wafungue account benki?? Subiri ummi mwalim akija gombea tumuulize
Urongo,hakuna aliyelipwa ata mmoja,thibitisha!
sjaelewa bado jirani so hawatalipwa?? Khaa wale wadigo sjui watakua wageni wa nani mana wengi wana matarajio ya kulipwa na hao nilosikia et walilipwa kipind cha kikwetr ila sio wote na watu wakatakiwe kufungua account s mchezo kama hawalipwi sasa ile mahakama itahamia wapi?Jirani watu huku wa expectations za kulipwa. Nimeongea na mtu wa ujenzi wa barabara serikalini akasema kana kure red mark i.e X na red numbers, hulipwi. Wote njia niliyoitaja hakuna mwenye kijani wote ni red!
Ngoja tusubiri. jumapili Shigela wakati natoa salamu za pongezi kwa Askofu Banzi, alisema kuwa ndani ya miezi miwili mkandarasi ataanza kazi. sasa kama anaanza kazi ina maana hakuna kulipwa.sjaelewa bado jirani so hawatalipwa?? Khaa wale wadigo sjui watakua wageni wa nani mana wengi wana matarajio ya kulipwa na hao nilosikia et walilipwa kipind cha kikwetr ila sio wote na watu wakatakiwe kufungua account s mchezo kama hawalipwi sasa ile mahakama itahamia wapi?
Ngoja tusubiri. jumapili Shigela wakati natoa salamu za pongezi kwa Askofu Banzi, alisema kuwa ndani ya miezi miwili mkandarasi ataanza kazi. sasa kama anaanza kazi ina maana hakuna kulipwa.
Inasemekana kweli watu walifungua akaunti, siju iliishia wapi!
Mahakama inaweza ikapona maana tetesi ni kuwa barabara italalia upande wa chini sana kuliko juu ie upande wa mahakama si sana
Urongo,hakuna aliyelipwa ata mmoja,thibitisha!
Kila mmoja anazipigia mahesabu, niko nao nawasikia na matumaini makubwa. Sasa nashangaa hawana mtu wa kuwatonya kuwa Red hulipwi isipokuwa kijani tu! Najiuliza kweli wote hawana mtoto wao aliyesoma kuwambia ukweli huo?Wangebalansisha tu ikalala kote kote nawaonea huruma wallah kama hakuna kulipwa mana wengi wanazipigia hesabu hizo pesa kufanyia mambo zao
si kila mtu anajua jirani ndio kama hivo tena wengi watakufa na preshaKila mmoja anazipigia mahesabu, niko nao nawasikia na matumaini makubwa. Sasa nashangaa hawana mtu wa kuwatonya kuwa Red hulipwi isipokuwa kijani tu! Najiuliza kweli wote hawana mtoto wao aliyesoma kuwambia ukweli huo?
ulaaniwe na uzao wakoIle barabarani ilivyo pana vile hata mie ningekua serikali nisingewalipa kamwe
Mungu asaidie tu hii barabara ijengwe, tumesubiri sana. Mlioko barabarani poleni sana, rahisi wetu ni msikivu atatimiza ahadi yake ya kuwalipa. Nina mzee wangu pale neema ameuza sana viwanja vyake vya ndani kidogo, amebakiza kibanda chake pale barabarani, sasa wasipomlipa atakufa kwa presha