Kinuju
JF-Expert Member
- Mar 20, 2021
- 2,386
- 5,325
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kuwa ujenzi wa daraja refu zaidi Afrika Mashariki la Magufuli linalojengwa kukatiza ziwa Victoria kuunganisha kati ya Kigongo na Busisi unahujumiwa.
Kutokana na hujuma hizo Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uchunguzi wa haraka ufanyike na watakaobainika wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma zao.
Ikumbukwe daraja hilo linajengwa kwa jumla ya billion 700 za walipa kodi wa Tanzania.