Ujenzi wa Daraja la Magufuli wahujumiwa, CCM wacharuka

Hili ndo lile daraja shetani jiwe aliimiza lijengwe haraka haraka.

Sababu lisipoisha kipindi yeye yupo madaarkani rais atakayemfatia anaweza akasitisha ujenzi wake.

Jiwe alikuwa mbaguzi sana sijui kwanini mataga wanamuona kama shujaa.
Alimbagua mamako baada ya kuoa mke mwingine?
 
Hili ndo lile daraja shetani jiwe aliimiza lijengwe haraka haraka.

Sababu lisipoisha kipindi yeye yupo madaarkani rais atakayemfatia anaweza akasitisha ujenzi wake.

Jiwe alikuwa mbaguzi sana sijui kwanini mataga wanamuona kama shujaa.
Kuna mtu Ana ubavu wa kusitisha Hilo daraja?
Au unajisemea tu ndugu yangu,wewe na unae mtaja mnatofautiana Nini maana hata wewe unatapika Moto wa chuki dhidi ya raia wa Kanda ya ziwa!
Huenda labda lingejengwa sambamba na lile la kigamboni ungechekelea.
 
Mwambie huyoo
 
Kuna mtu Ana ubavu wa kusitisha Hilo daraja
Unaniuliza mimi tena.

Kamuulize yule mungu wenu anayekula marungu kuzimu kwa uovu wake.

Yeye ndiye aliyetamka maneno hayo.
Au unajisemea tu ndugu yangu,wewe na unae mtaja mnatofautiana Nini maana hata wewe unatapika Moto wa chuki dhidi ya raia wa Kanda ya ziwa!
Sina muda wa kuchukia washamba wafuga ng'ombe.
Huenda labda lingejengwa sambamba na lile la kigamboni ungechekelea.
Kwani la kigamboni halijajengwa?
 
Hili ndo lile daraja shetani jiwe aliimiza lijengwe haraka haraka.

Sababu lisipoisha kipindi yeye yupo madaarkani rais atakayemfatia anaweza akasitisha ujenzi wake.

Jiwe alikuwa mbaguzi sana sijui kwanini mataga wanamuona kama shujaa.
Na Chaga gangsters wanamuonaje? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Unaniuliza mimi tena.

Kamuulize yule mungu wenu anayekula marungu kuzimu kwa uovu wake.

Yeye ndiye aliyetamka maneno hayo.

Sina muda wa kuchukia washamba wafuga ng'ombe.

Kwani la kigamboni halijajengwa?
Mimba ya JPM itakutesa mpaka kufa
 
Chadema wanamsaliti mama
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
wee jamaa sikujua siku zote kuwa kumbe huwa unawananga chama cha kijani. leo nimegundua yaani unawatania kabisa kuwa CDM ndio wanaosababisha juhudi za maendeleo za kijani zisifanikiwe. aaa wee jamaa una utani mbaya sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Unaniuliza mimi tena.

Kamuulize yule mungu wenu anayekula marungu kuzimu kwa uovu wake.

Yeye ndiye aliyetamka maneno hayo.

Sina muda wa kuchukia washamba wafuga ng'ombe.

Kwani la kigamboni halijajengwa?
Unawasemea washamba na wafuga ng'ombe vibaya huku unakula vinavyotokana na kazi hizo. Huo ni upumbavu
 
kwani ujenzi wa daraja hilo unasimamiwa na TLP ama CHAUSTA ? Yaani ujiibie mwenyewe afu unataka attention ya watu wote nchi nzima.
Hahaha mkuu nimecheka mpaka bhas tu. Nawashangaa wanaoitaja CHADEMA kuwa inahujumu huo mradi wakati wao na chama kinachoshika dola ndio kilichofanya planning and budgeting of that particular project na sasa wako katika hatua ya implementation alafu wanakuja na maneno kama haya.
Hakika CCM wengi hawajielewi (wachumia tumbo), wanafki na wasiowapenda watanzania wenzao zaid ya familia zao tu
 
Kazi imenza.

Kuna watu wanatamani mambo ya JPM yazikwe kama alivyozikwa yeye.
We ujihisi furaha, mamiradi makubwa kufululiza sasa imetulia, imalizike kwanza hii ndio muendelee na mingine! Kuwapa watu matumaini na kujimwambafai ni jambo baya sana, wakati kasi ni kubwa ya kushuka kiuchumi!
 
Daraja la nini si kuna mapatoni mengi huko tunajenga bwawa kwanza la muhimu kitaifa hata kijijini kwako utapata umeme
 
Back
Top Bottom